Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa…
Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Yanga SC, wataanza safari yao ya kutetea taji kwa kucheza dhidi ya Copco FC…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH amesema kuwa, wananchi wa Iran lazima wawe…
Songwe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe kwa…
Serikali ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kutoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu…
Chama tawala nchini Senegal, PASTEF, kimeshinda karibu robo tatu ya viti vya Bunge katika uchaguzi uliofanyika wikendi iliyopita, matokeo yanayomaanisha…
Kwa mujibu wa uzoefu wetu, tumeshuhudia au kusikia kuhusu visa vinavyosababisha migogoro, kuvunjika au kudorora kwa ndoa. Na miongoni mwa…
Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa…
Mwanza. Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico), imeanza mchakato wa kujenga meli ya mizigo katika Bahari ya Hindi ikiwa…
Mapigano makali ya bunduki yamezuka, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu…
Kufuzu kwa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 ni hatua kubwa katika historia ya soka la…
Dar es Salaam. Shahidi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuwepo nchini bila kibali, inayomkabili raia wa…
Kwa mujibu wa uzoefu wetu, tumeshuhudia au kusikia kuhusu visa vinavyosababisha migogoro, kuvunjika au kudorora kwa ndoa. Na miongoni mwa…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ikieleza kuhusu matarajio ya hali mbaya ya hewa…
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata popote alipo, mfanyabiashara maarufu nchini, Pravinchandra Chavda (75)…
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema alikuwa amepanga huu uwe msimu wake wa mwisho na timu hiyo, lakini ameamua…
Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru…
Simba waliitaka mechi ya leo dhidi ya Pamba Jiji na wamepatiwa baada ya hapo awali Bodi ya Ligi Kuu Tanzania…
Rais Vladimir Russia ameonya kuwa, Moscow inabaki nayo haki yake ya kushambulia vituo vya kijeshi vya nchi zinazoruhusu silaha zao…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ametoa amri ya kuchukuliwa hatua madhubuti ikiwa ni pamoja na kuwekwa…
Kundi la magaidi wakufurishaji wameyafyatulia risasi magari ya abiria yaliyokuwa yamebeba raia Waislamu wa madhehebu ya Shia kaskazini-magharibi mwa Pakistan…
Tukio la kuanguka kwa jengo la ghorofa nne eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ni maafa yaliyowagusa Watanzania na…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi amekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kutoa hati ya…
Nitatumia msingi wa tabia za binadamu kuelezea aina kuu nne za watu duniani, nitakuongoza walau ujifahamu na kuwafahamu wanaokuzunguka. Naam,…
Kuna hizi taasisi za ndani na nje ya nchi zinazokunja hela inayoeleweka zikidaiwa kuwatetea raia wa dunia yetu hii, zikiongozwa…
Dar es Salaam. Katika kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, jarida hili linaangazia athari za kiafya kwa mjamzito…
Dar es Salaam. Kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo ya uzito mkubwa kwa mtoto, inaelezwa kuwa husababisha daktari kumshauri mjamzito kujifungua…
Mwishoni mwa wiki iliyopita eneo la Kariakoo lenye shughuli nyingi za biashara, kulitokea ajali ya kuanguka kwa jengo la ghorofa…
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amesema, hati za zilizotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya…
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesisitiza kuwa, vitisho, vikwazo na mashinikizo ya maadui dhidi ya Iran…
Polisi wa Afrika Kusini wamegundua vyakula vinavyoshukiwa kuisha muda wake wakati walipovamia maghala kadhaa ya chakula mjini Durban. Haya yanajiri…
Baraza la utawala wa kijeshi la Mali jana Alkhamisi lilimteua msemaji wake, Abdoulaye Maiga, kuwa waziri mkuu siku moja baada…
Leo ni Ijumaa tarehe 20 Mfunguo Nane, Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiiana na 22 Novemba 2024. Siku kama ya leo…
Dar es Salaam. Shughuli za kibiashara katika maeneo yanayozunguka jengo la ghorofa nne lililoporomoka Kariakoo na kusababisha vifo, majeruhi na…
Dar/mikoani. Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zikiwa zimeanza, vyama vimeendelea kunadi sera zake ili…
Unguja. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff amesema Zanzibar inazidi kufunguka na uwekezaji…
Morogoro. Hatimaye watoto wanne kati ya 15 wa marehemu Neema Kenge (39) wamepata ufadhili wa kusomeshwa shule ya bweni na…
Dar es Salaam. Amina Ally (21), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa kesi ya jinai kujibu shtaka…
Bumbuli. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), January Makamba ameyataja mambo yatakayokibeba Chama Cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa…
Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na Novemba 21 mwaka 2024. Siku kama ya leo miaka…
Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuwepo nchini bila kuwa na kibali inayomkabili…
Moshi/Dar. Watumiaji na walaji wa tangawizi Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wamelalamikia kupanda bei ya bidhaa hiyo kutoka Sh2,000 hadi…
Handeni. Kombo Mbwana, mmoja wa maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, hivi karibuni alikamatwa na kushtakiwa…
The Hague. Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wametoa hati ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu,…
Handeni. Kombo Mbwana, mmoja wa maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, hivi karibuni alikamatwa na kushtakiwa…
Dar es Salaam. Baada ya mwanasiasa na mwanamuziki wa hip-hop nchini, Joseph Haule maarufu ‘Professor Jay’ kurudi kwenye siasa kwa…
Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa…
Mwanza. Ikiwa imepita siku moja tangu kipyenga cha kampeni za Serikali za Mitaa kipulizwe, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na…
Dar es Salaam. Kocha mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa…
Dar es Salaam. Wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likiitaja Tanzania kuongoza ukanda wa Afrika Mashariki katika kukabiliana na magonjwa…