Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Ripoti: Askari wasiopungua sita wa jeshi la Israel wamejiua katika miezi ya karibuni
SWAHILI NEWS

Ripoti: Askari wasiopungua sita wa jeshi la Israel wamejiua katika miezi ya karibuni

MUKSININovember 23, 2024

Askari wasiopungua sita wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na…

Jumamosi, 23 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumamosi, 23 Novemba, 2024

MUKSININovember 23, 2024

Leo ni Jumamosi 21 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria sawa na 23 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo miaka…

WANANCHI NEWS

Mastaa hawa mizani iko sawa kwa Alikiba, Diamond

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Ni wazi kuwa Alikiba na Diamond Platnumz wamekuwa na nguvu kubwa ya ushawishi sio kwa mashabiki tu bali…

Hekaya za Mlevi: Dar lilikuwa Jiji, sasa ni makumbusho
WANANCHI NEWS

Hekaya za Mlevi: Dar lilikuwa Jiji, sasa ni makumbusho

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam.Namkumbuka marehemu Kikumbi Mwanza Mpango. Kwenye wimbo wake “Mtoto wa Mjini” aliimba “Dar es Salaam yachemka kama bahari,…

TFS Mbeya yaongeza nguvu ujenzi kituo cha polisi katika vijiji saba
WANANCHI NEWS

TFS Mbeya yaongeza nguvu ujenzi kituo cha polisi katika vijiji saba

MUKSININovember 23, 2024

Mbeya. Wananchi katika vijiji saba vilivyopo katika halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, wataondokana na adha ya kutembelea umbali mrefu kufuata…

Hasira isiyo na mfano wake dhidi ya Wazayuni barani Ulaya
SWAHILI NEWS

Hasira isiyo na mfano wake dhidi ya Wazayuni barani Ulaya

MUKSININovember 23, 2024

Jinai za kutisha zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita zimekuwa na…

UN: Mauaji ya wafanyakazi wa misaada yamevunja rekodi mwaka 2024, wengi wao huko Gaza
SWAHILI NEWS

UN: Mauaji ya wafanyakazi wa misaada yamevunja rekodi mwaka 2024, wengi wao huko Gaza

MUKSININovember 23, 2024

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imesema kuwa mwaka huu umeshuhudia mauaji ya wafanyakazi wengi wa…

UN: Wanawake wa Afrika wanatumia masaa milioni 200 kila siku kuteka maji
SWAHILI NEWS

UN: Wanawake wa Afrika wanatumia masaa milioni 200 kila siku kuteka maji

MUKSININovember 23, 2024

Wanawake katika nchi za Afrika zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara, wanatumia masaa milioni 200 kila siku kwa ajili ya…

Kamalvandi: Iran imeongeza uwezo wa kurutubisha urani ya nyuklia
SWAHILI NEWS

Kamalvandi: Iran imeongeza uwezo wa kurutubisha urani ya nyuklia

MUKSININovember 23, 2024

Behrouz Kamalvandi, msemaji na mkuu wa masuala ya kimataifa na kisheria katika Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amezungumzia…

Netanyahu ni mhalifu wa kivita, atakamatwa akikanyaga Dearborn Marekani
SWAHILI NEWS

Netanyahu ni mhalifu wa kivita, atakamatwa akikanyaga Dearborn Marekani

MUKSININovember 23, 2024

Mji mmoja nchini Marekani umeahidi kumkamata Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu, na waziri wake wa zamani wa…

Rais Pezeshkian atoa salamu za rambirambi kwa Pakistan kutokana na shambulio la kigaidi
SWAHILI NEWS

Rais Pezeshkian atoa salamu za rambirambi kwa Pakistan kutokana na shambulio la kigaidi

MUKSININovember 23, 2024

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa salamu za rambirambi kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea kaskazini magharibi mwa Pakistan. Katika barua…

Ethiopia kuiuzia Tanzania umeme kupitia Kenya
SWAHILI NEWS

Ethiopia kuiuzia Tanzania umeme kupitia Kenya

MUKSININovember 23, 2024

Ethiopia inapanga kusafirisha takriban megawati 100 za umeme kwa Tanzania kupitia Kenya, ikiwa ni hatua muhimu ya ushirikiano wa nchi…

Simba, Tshabalala kimeumana
WANANCHI NEWS

Simba, Tshabalala kimeumana

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Habari za uhakika kutoka ndani ya Simba, zinasema kuna kazi ngumu ya kufanya ili kumbakisha nahodha wa timu hiyo,…

Wenye malori nao wautaka mradi wa mwendokasi
WANANCHI NEWS

Wenye malori nao wautaka mradi wa mwendokasi

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Chama cha Wamiliki wa malori wa Kati na Wadogo (Tamstoa), kimeonyesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika…

WANANCHI NEWS

Makandarasi Moshi walia Tarura kutowalipa

MUKSININovember 22, 2024

Moshi. Makandarasi wa miradi iliyotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) mkoani Kilimanjaro, wamesema wanahofia kufilisiwa…

Gwajima afungua pazia kuelekea Siku ya Wanawake 2025
WANANCHI NEWS

Gwajima afungua pazia kuelekea Siku ya Wanawake 2025

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Wakati maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yakitarajiwa kufanyika kwa ngazi ya taifa Machi 2025, Serikali imesema…

Zigo kwa kamati ya uchunguzi Kariakoo
WANANCHI NEWS

Zigo kwa kamati ya uchunguzi Kariakoo

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Wakati kamati ya uchunguzi wa ajali ya jengo lililoporomoka Kariakoo na masuala mengineyo ikianza kazi, wataalamu na…

WANANCHI NEWS

Wanne wafariki ajali ya lori lililofeli breki Bunda

MUKSININovember 22, 2024

Bunda. Watu wanne wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa huku mmoja akiwa katika hali mbaya,  baada ya lori lililokuwa limepakia…

WANANCHI NEWS

Mbowe alivyokamatwa Songwe

MUKSININovember 22, 2024

Dar/Mikoani. Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zikiingia siku ya tatu leo Novemba 22, 24 vyama…

LHRC: Wagombea serikali za mitaa jengeni hoja, acheni vihoja
WANANCHI NEWS

LHRC: Wagombea serikali za mitaa jengeni hoja, acheni vihoja

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimewataka wagombea wa vyama vyote kwenye uchaguzi wa Serikali…

Simba yaendeleza ubabe Ligi Kuu
WANANCHI NEWS

Simba yaendeleza ubabe Ligi Kuu

MUKSININovember 22, 2024

Simba imeendeleza ubabe katika mechi za ugenini za Ligi Kuu msimu huu huku ikizidi kujichimbia kileleni mwa msimamo baada ya…

Chuo cha kodi chapewa mwelekeo mpya
WANANCHI NEWS

Chuo cha kodi chapewa mwelekeo mpya

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya, amekitaka Chuo cha Kodi nchini kuhakikisha kinatoa mafunzo…

Polisi: Upelelezi ajali Kariakoo, ‘kutekwa’ kwa Tarimo umefikia hatua nzuri
WANANCHI NEWS

Polisi: Upelelezi ajali Kariakoo, ‘kutekwa’ kwa Tarimo umefikia hatua nzuri

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania limesema bado linaendelea na uchunguzi wa matukio mawili yaliyojitokeza nchini, likiwemo lile la…

Kiama matapeli mtandaoni chaja
WANANCHI NEWS

Kiama matapeli mtandaoni chaja

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na wimbi la uhalifu wa utapeli mtandaoni, Serikali imeunda kikosi kazi kitakachotafuta mbinu mahususi za…

WANANCHI NEWS

Majaliwa ataja mbinu kukabili ukosefu wa ajira

MUKSININovember 22, 2024

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema somo la biashara litakuwa ni lazima kwa wanafunzi wote kuanzia mwaka wa masomo 2025/26,…

Korti yawaachia huru wawili, swali labaki nani muuaji?
WANANCHI NEWS

Korti yawaachia huru wawili, swali labaki nani muuaji?

MUKSININovember 22, 2024

Bukoba. Nani waliomlisha sumu Daud Francisco? Ni kitendawili kinachohitaji kuteguliwa na vyombo vya uchunguzi, baada ya Mahakama Kuu Kanda ya…

Denzel Washington sasa ni mtu mwingine kabisa 
WANANCHI NEWS

Denzel Washington sasa ni mtu mwingine kabisa 

MUKSININovember 22, 2024

Marekani. Mkongwe wa filamu Marekani, Denzel Washington, 69, amesema  amefanya uharibifu mkubwa katika mwili wake kipindi alichokuwa akitumia dawa za…

Zanzibar ilivyojizatiti kuondoa urasimu bandarini
WANANCHI NEWS

Zanzibar ilivyojizatiti kuondoa urasimu bandarini

MUKSININovember 22, 2024

Unguja. Ukizinduliwa mpango wa maboresho ya huduma za bandari, Rais wa Zanzibar , Dk Hussein Mwinyi amesema utaleta mageuzi ya…

Kilio cha ubovu wa barabara Tomondo
WANANCHI NEWS

Kilio cha ubovu wa barabara Tomondo

MUKSININovember 22, 2024

Unguja. Wakazi wa Tomondo, Mkoa wa Mjini Magharibi wameiomba Serikali kuwajengea miundombinu ya barabara za mtaani kwani ubovu wa miundombinu…

Radiamali ya Iran kwa azimio la nchi tatu za Ulaya kwa Bodi ya IAEA
SWAHILI NEWS

Radiamali ya Iran kwa azimio la nchi tatu za Ulaya kwa Bodi ya IAEA

MUKSININovember 22, 2024

Nchi tatu za Ulaya zimewasilisha mswada wa azimio kwa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki…

Wanne mbaroni kwa tuhuma za wizi wa mifuko 600 ya mbolea
WANANCHI NEWS

Wanne mbaroni kwa tuhuma za wizi wa mifuko 600 ya mbolea

MUKSININovember 22, 2024

Sikonge, Tabora.Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu nne kwa tuhuma za kuuza mifuko 600 ya mbolea aina ya…

Hizi ndizo ishara za kiongozi sahihi wa mtaa, kijiji au kitongoji 
WANANCHI NEWS

Hizi ndizo ishara za kiongozi sahihi wa mtaa, kijiji au kitongoji 

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Uongozi si cheo. Si maneno matamu kwenye kampeni, wala tabasamu mwanana katika mikutano ya hadhara. Uongozi ni…

RC Mtanda ajibu tuhuma za Simba, ambana Ahmed Ally
WANANCHI NEWS

RC Mtanda ajibu tuhuma za Simba, ambana Ahmed Ally

MUKSININovember 22, 2024

Mwanza. Baada ya Klabu ya Simba kutoa taarifa jana kwa umma ikilaani kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said…

Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni
SWAHILI NEWS

Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni

MUKSININovember 22, 2024

Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa…

Simba, Yanga zapewa mchekea Kombe la Shirikisho
WANANCHI NEWS

Simba, Yanga zapewa mchekea Kombe la Shirikisho

MUKSININovember 22, 2024

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Yanga SC, wataanza safari yao ya kutetea taji kwa kucheza dhidi ya Copco FC…

Salami: Tutalipa kisasi dhidi ya Israel na hilo halina shaka
SWAHILI NEWS

Salami: Tutalipa kisasi dhidi ya Israel na hilo halina shaka

MUKSININovember 22, 2024

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH amesema kuwa, wananchi wa Iran lazima wawe…

VIDEO: Mbowe na wenzake washikiliwa Polisi Songwe
WANANCHI NEWS

VIDEO: Mbowe na wenzake washikiliwa Polisi Songwe

MUKSININovember 22, 2024

Songwe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe kwa…

Afrika Kusini yaipongeza ICC kwa kutoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant
SWAHILI NEWS

Afrika Kusini yaipongeza ICC kwa kutoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant

MUKSININovember 22, 2024

Serikali ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kutoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu…

Chama tawala Senegal chaibuka mshindi katika uchaguzi wa Bunge
SWAHILI NEWS

Chama tawala Senegal chaibuka mshindi katika uchaguzi wa Bunge

MUKSININovember 22, 2024

Chama tawala nchini Senegal, PASTEF, kimeshinda karibu robo tatu ya viti vya Bunge katika uchaguzi uliofanyika wikendi iliyopita, matokeo yanayomaanisha…

Kiburi cha usomi, sumu inayovunja ndoa na uhusiano
WANANCHI NEWS

Kiburi cha usomi, sumu inayovunja ndoa na uhusiano

MUKSININovember 22, 2024

Kwa mujibu wa uzoefu wetu, tumeshuhudia au kusikia kuhusu visa vinavyosababisha migogoro, kuvunjika au kudorora kwa ndoa. Na miongoni mwa…

Uamuzi wa ICC wa kutiwa mbaroni Netanyahu na mshirika waendelea kupongezwa
SWAHILI NEWS

Uamuzi wa ICC wa kutiwa mbaroni Netanyahu na mshirika waendelea kupongezwa

MUKSININovember 22, 2024

Mataifa na shakhsia mbalinmbali ulimwenguni wameendelea kupongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa…

Tashico kujenga meli nne Bahari ya Hindi
WANANCHI NEWS

Tashico kujenga meli nne Bahari ya Hindi

MUKSININovember 22, 2024

Mwanza. Serikali kupitia Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico), imeanza mchakato wa kujenga meli ya mizigo katika Bahari ya Hindi ikiwa…

Mapigano mapya yazuka katika mji mkuu wa Sudan Kusini
SWAHILI NEWS

Mapigano mapya yazuka katika mji mkuu wa Sudan Kusini

MUKSININovember 22, 2024

Mapigano makali ya bunduki yamezuka, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu…

Morocco aanavyowabeba makocha wazawa
WANANCHI NEWS

Morocco aanavyowabeba makocha wazawa

MUKSININovember 22, 2024

Kufuzu kwa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 ni hatua kubwa katika historia ya soka la…

Shahidi: Chuma cha Chuma alitakiwa kuishi nchini kwa siku 60
WANANCHI NEWS

Shahidi: Chuma cha Chuma alitakiwa kuishi nchini kwa siku 60

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Shahidi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi ya kuwepo nchini bila kibali, inayomkabili raia wa…

Kiburi cha usomi, sumu inayovunja ndoa, uhusiano
WANANCHI NEWS

Kiburi cha usomi, sumu inayovunja ndoa, uhusiano

MUKSININovember 22, 2024

Kwa mujibu wa uzoefu wetu, tumeshuhudia au kusikia kuhusu visa vinavyosababisha migogoro, kuvunjika au kudorora kwa ndoa. Na miongoni mwa…

TMA yatoa angalizo la mvua kubwa
WANANCHI NEWS

TMA yatoa angalizo la mvua kubwa

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ikieleza kuhusu matarajio ya hali mbaya ya hewa…

Mahakama yaamuru Chavda akamatwe kwa kuruka dhamana
WANANCHI NEWS

Mahakama yaamuru Chavda akamatwe kwa kuruka dhamana

MUKSININovember 22, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata popote alipo, mfanyabiashara maarufu nchini, Pravinchandra Chavda (75)…

Vipigo vimembakisha Guardiola Man City
WANANCHI NEWS

Vipigo vimembakisha Guardiola Man City

MUKSININovember 22, 2024

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema alikuwa amepanga huu uwe msimu wake wa mwisho na timu hiyo, lakini ameamua…

Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant
SWAHILI NEWS

Seneta wa Marekani aunga mkono hati ya ICC inayoamuru kukamatwa Netanyahu na Gallant

MUKSININovember 22, 2024

Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi uliotoloewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Alkhamisi wa kuamuru…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us