Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Trump amuunga mkono kuwania ubunge wa US mwanasiasa anayewachukia Waislamu
SWAHILI NEWS

Trump amuunga mkono kuwania ubunge wa US mwanasiasa anayewachukia Waislamu

MUKSININovember 24, 2024

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemhimiza mbunge wa Florida ambaye alisherehekea mauaji ya raia wa Marekani yaliyofanywa na jeshi…

Kuwa makini mitandao isikuvunjie ndoa yako
WANANCHI NEWS

Kuwa makini mitandao isikuvunjie ndoa yako

MUKSININovember 24, 2024

Tuanze na kisa kilichotokea nchini Marekani mwaka jana. Mwanandoa mmoja alimtoa roho mwenzie kisa mitandao ya kijamii na tamaa. Wanandoa…

Mzazi unavyoweza kumsaidia mtoto wako wa kiume aje kuwa baba bora
WANANCHI NEWS

Mzazi unavyoweza kumsaidia mtoto wako wa kiume aje kuwa baba bora

MUKSININovember 24, 2024

Malezi ya mtoto wa kiume ni safari inayohitaji uvumilivu, upendo na ushirikiano wa karibu kati ya wazazi. Na tunaambiwa ili…

Kitanzi kipya Man City, Newcastle United
WANANCHI NEWS

Kitanzi kipya Man City, Newcastle United

MUKSININovember 24, 2024

London,England. Maisha huenda yakawa magumu kwa Manchester City na Newcastle United katika Ligi Kuu England (EPL) kwa siku za usoni…

Fanya haya kumsaidia mtoto kuwa mbunifu
WANANCHI NEWS

Fanya haya kumsaidia mtoto kuwa mbunifu

MUKSININovember 24, 2024

Ubunifu ni uwezo wa kufikiri, kutafuta majibu, au kutatua changamoto kwa namna isiyotarajiwa. Unamsaidia mtu kupambana na changamoto zake kwa…

SEPAH: Magaidi 88 wameangamizwa na kutiwa mbaroni kusini mashariki mwa Iran + Video
SWAHILI NEWS

SEPAH: Magaidi 88 wameangamizwa na kutiwa mbaroni kusini mashariki mwa Iran + Video

MUKSININovember 24, 2024

Msemaji wa luteka ya kijeshi ya kambi ya Quds ya Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu…

Iran: Tunakaribisha hatua zozote za kuondolewa kinga utawala wa Kizayuni
SWAHILI NEWS

Iran: Tunakaribisha hatua zozote za kuondolewa kinga utawala wa Kizayuni

MUKSININovember 24, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha hatua yoyote ya kuuondolea kinga…

Kiongozi maarufu wa upinzani Tanzania na wenzake waachiliwa huru kwa dhamana
SWAHILI NEWS

Kiongozi maarufu wa upinzani Tanzania na wenzake waachiliwa huru kwa dhamana

MUKSININovember 24, 2024

Freeman Mbowe, kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania jana aliachiliwa huru kwa dhamana baada ya kukamatwa siku…

Uhusiano wa Niger na nchi za Ulaya wazidi kuharibika, EU yamwita balozi wake
SWAHILI NEWS

Uhusiano wa Niger na nchi za Ulaya wazidi kuharibika, EU yamwita balozi wake

MUKSININovember 24, 2024

Umoja wa Ulaya (EU) umemuondoa balozi wake aliyekuweko Niamey, mji mkuu wa Niger kutokana na kushadidi mvutano na uongozi mpya…

Jeshi la Sudan layateka tena makao makuu ya jimbo la Sinnar la katikati mwa nchi
SWAHILI NEWS

Jeshi la Sudan layateka tena makao makuu ya jimbo la Sinnar la katikati mwa nchi

MUKSININovember 24, 2024

Serikali ya Sudan ilitangaza jana Jumamosi kuwa jeshi la nchi hiyo SAF limeuteka tena mji wa Singa ambao ni makao…

ONGEA NA ANTI BETTIE: Mtoto wangu anafanana na mfanyakazi mwenzangu nifanyeje?
WANANCHI NEWS

ONGEA NA ANTI BETTIE: Mtoto wangu anafanana na mfanyakazi mwenzangu nifanyeje?

MUKSININovember 24, 2024

Nashindwa hata nianzie wapi, ninakosa raha kila inapoitwa leo kwani wenzangu walikuwa wakinong’ona kuwa mtoto wangu amefanana na mfanyakazi mwenzangu…

Mzumbe kumtunuku Rais Samia udaktari wa heshima
WANANCHI NEWS

Mzumbe kumtunuku Rais Samia udaktari wa heshima

MUKSININovember 24, 2024

Leo Jumapili, Novemba 2 4, 2024 ni mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoa wa Morogoro. Katika mahafali…

Wawili mbaroni kwa kuvunja vioo vya treni SGR kwa mawe
WANANCHI NEWS

Wawili mbaroni kwa kuvunja vioo vya treni SGR kwa mawe

MUKSININovember 24, 2024

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji watuhumiwa wawili kwa kosa la kuharibu kwa kuvunja vioo viwili vya…

Anko Kitime: Tanga ndipo kilipozikwa kitovu cha muziki wa dansi Tanzania
WANANCHI NEWS

Anko Kitime: Tanga ndipo kilipozikwa kitovu cha muziki wa dansi Tanzania

MUKSININovember 24, 2024

Dar es Salaam. Wiki chache zilizopita Rais Mama Samia Suluhu Hassan alimtunza mtunzi na muimbaji wa bendi ya Atomic Jazz…

Kiongozi: Wahusika wote wa genge la magaidi wa Kizayuni lazima washtakiwe
SWAHILI NEWS

Kiongozi: Wahusika wote wa genge la magaidi wa Kizayuni lazima washtakiwe

MUKSININovember 24, 2024

Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehimiza kufunguliwa mashtaka maafisa wote wa kisiasa na kijeshi wa…

Ayatullah Sistani alaani mauaji dhidi ya Mashia nchini Pakistan
SWAHILI NEWS

Ayatullah Sistani alaani mauaji dhidi ya Mashia nchini Pakistan

MUKSININovember 24, 2024

Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amelaani…

Kim Jong Un: Marekani inachangia kuongezeka mivutano duniani
SWAHILI NEWS

Kim Jong Un: Marekani inachangia kuongezeka mivutano duniani

MUKSININovember 24, 2024

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameishutumu Marekani kwa kuongeza mivutano na uchokozi na kueleza kwamba, amesema rasi ya…

Waziri Mkuu wa Ireland: Tutawakamata Netanyahu na Gallant
SWAHILI NEWS

Waziri Mkuu wa Ireland: Tutawakamata Netanyahu na Gallant

MUKSININovember 24, 2024

Waziri Mkuu wa Ireland amesisitiza kuwa, nchi yake itatekeleza amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusu kukamatwa Waziri…

Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni
SWAHILI NEWS

Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni

MUKSININovember 24, 2024

Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni…

Kiongozi wa upinzani Msumbiji atangaza masharti ya kufanya mazungumzo
SWAHILI NEWS

Kiongozi wa upinzani Msumbiji atangaza masharti ya kufanya mazungumzo

MUKSININovember 24, 2024

Kiongozi wa upinzani Msumbiji amesema atakubali mwito wa rais wa mazungumzo baada ya ghasia kali za baada ya uchaguzi kwa…

Jumapili, 24 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumapili, 24 Novemba, 2024

MUKSININovember 24, 2024

Leo ni Jumapili 22 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria ambayo inasadifiana na 24 Novemba 2024 Miladia. Siku kama ya leo…

Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO
SWAHILI NEWS

Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO

MUKSININovember 24, 2024

Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia…

WANANCHI NEWS

Viongozi wanavyokimbizana na ratiba ngumu ya kampeni

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Zikiwa zimebakia siku tatu kuhitimishwa kwa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wa vyama vya…

Masauni ahimiza maadili, uzalendo kwa vijana
WANANCHI NEWS

Masauni ahimiza maadili, uzalendo kwa vijana

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amewataka viongozi wa dini ya Kiislamu kuwa karibu na jamii…

Profesa Kabudi ataka elimu ya Biblia shuleni
WANANCHI NEWS

Profesa Kabudi ataka elimu ya Biblia shuleni

MUKSININovember 23, 2024

Mbeya. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabuni amewataka viongozi wa dini ya Kikristo nchini,  kuungana na kuanzisha programu…

Polisi Kilimanjaro yawashikilia wawili kwa tuhuma za mauaji
WANANCHI NEWS

Polisi Kilimanjaro yawashikilia wawili kwa tuhuma za mauaji

MUKSININovember 23, 2024

Moshi. Mkazi wa Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Florence Malya (54), amefariki dunia baada ya…

Aga Khan yaadhimisha siku ya watoto njiti
WANANCHI NEWS

Aga Khan yaadhimisha siku ya watoto njiti

MUKSININovember 23, 2024

 Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan leo imeadhimisha siku ya watoto njiti ikiweka msisitizo wa kuwepo juhudi za pamoja…

Dk Isaka atamba NHIF kuimarika kiutendaji
WANANCHI NEWS

Dk Isaka atamba NHIF kuimarika kiutendaji

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk Irene Isaka amesema mfuko huo…

Imani potofu, gharama zinavyokwaza tiba ya kifafa
WANANCHI NEWS

Imani potofu, gharama zinavyokwaza tiba ya kifafa

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Ukosefu wa elimu kuhusu magonjwa ya mishipa ya fahamu, ukiwemo wa kifafa, unatajwa kama moja ya sababu…

WANANCHI NEWS

Nchimbi ataka viongozi wasifunike mazuri ya watangulizi wao

MUKSININovember 23, 2024

Morogoro. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewataka viongozi wanaopata dhamana katika nafasi mbalimbali wasisahau au…

CEO wa Simba ndio basi tena, Zubeda achukua mikoba
WANANCHI NEWS

CEO wa Simba ndio basi tena, Zubeda achukua mikoba

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umetangaza kusitisha mkataba na Francois Regis raia wa Rwanda ambaye alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu…

TMA: Mikoa minane kupata mvua kubwa
WANANCHI NEWS

TMA: Mikoa minane kupata mvua kubwa

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa kwa maeneo machache ya mikoa…

Tanzania yajiweka pazuri sekta ya anga
WANANCHI NEWS

Tanzania yajiweka pazuri sekta ya anga

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Tanzania imeingia mikataba na nchi 88 zenye mashirika ya ndege, ambayo yanaingia na kutoka katika viwanja vya…

Utetezi wamuokoa na adhabu ya kunyongwa
WANANCHI NEWS

Utetezi wamuokoa na adhabu ya kunyongwa

MUKSININovember 23, 2024

Moshi. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, imemhukumu Sifael Kivuyo, kutumikia kifungo cha miaka 18 jela kwa kosa la kumuua bila…

Kijiji cha Esfahak nchini Iran ni mojawapo ya Vijiji Bora vya Utalii duniani mwaka huu wa 2024
SWAHILI NEWS

Kijiji cha Esfahak nchini Iran ni mojawapo ya Vijiji Bora vya Utalii duniani mwaka huu wa 2024

MUKSININovember 23, 2024

Kijiji cha kihistoria cha Esfahak, kilicho katika mkoa wa Khorasan Kusini mwa Iran, kimetambuliwa kimataifa kwa kutajwa na Shirika la…

Aliyekutwa majongoo bahari, ahukumiwa faini ya Sh200,000
WANANCHI NEWS

Aliyekutwa majongoo bahari, ahukumiwa faini ya Sh200,000

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Athuman Kilapo (60) kulipa faini ya Sh 200,000 au kwenda jela…

Ripoti: Wanajeshi sita wa Israel wamejinyonga kutokana na vita Gaza
SWAHILI NEWS

Ripoti: Wanajeshi sita wa Israel wamejinyonga kutokana na vita Gaza

MUKSININovember 23, 2024

Takriban wanajeshi sita wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na vita…

UN: Vita vya Israel dhidi ya Lebanon vimeua maelfu wakiwemo Watoto
SWAHILI NEWS

UN: Vita vya Israel dhidi ya Lebanon vimeua maelfu wakiwemo Watoto

MUKSININovember 23, 2024

Wahudumu wa mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa wamelaani mauaji ya zaidi ya watu 3,600 nchini Lebanon katika mashambulizi…

Watano wafariki dunia Songwe, ajali ya lori na bajaji  
WANANCHI NEWS

Watano wafariki dunia Songwe, ajali ya lori na bajaji  

MUKSININovember 23, 2024

Songwe. Watu watano wamefariki dunia mkoani Songwe baada ya kutokea ajali iliyohusisha lori aina ya Scania na bajaji. Kamanda wa…

Iran: Mashtaka ya ICC dhidi ya Netanyahu yalipaswa kujumuisha ‘mauaji ya kimbari’
SWAHILI NEWS

Iran: Mashtaka ya ICC dhidi ya Netanyahu yalipaswa kujumuisha ‘mauaji ya kimbari’

MUKSININovember 23, 2024

Iran imesema mashitaka ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri…

Watu wanne wameuawa katika jaribio la kumkamata mkuu wa zamani wa usalama Sudan Kusini
SWAHILI NEWS

Watu wanne wameuawa katika jaribio la kumkamata mkuu wa zamani wa usalama Sudan Kusini

MUKSININovember 23, 2024

Takriban watu wanne, wakiwemo raia wawili, wameuawa kwa kupigwa risasi katika makazi ya mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi…

WHO inasema mpox bado ni dharura ya afya ya umma duniani
SWAHILI NEWS

WHO inasema mpox bado ni dharura ya afya ya umma duniani

MUKSININovember 23, 2024

Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa litaendelea kuwa macho dhidi ya ugonjwa hatari wa mpox katika kiwango cha juu…

Kukiri nchi za Ulaya kuhusu mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
SWAHILI NEWS

Kukiri nchi za Ulaya kuhusu mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

MUKSININovember 23, 2024

Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) baada ya miezi kadhaa ya utafiti na uchunguzi imetoa hukumu ya kukamatwa Benjamin…

Mgombea wa ADC serikali za mitaa afariki dunia
WANANCHI NEWS

Mgombea wa ADC serikali za mitaa afariki dunia

MUKSININovember 23, 2024

Uyui. Aliyekuwa mgombea wa chama cha ADC katika nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji cha Godawn kilichopo katika kijiji cha Ilolangulu,…

Twiga Stars na kundi la kifo Wafcon
WANANCHI NEWS

Twiga Stars na kundi la kifo Wafcon

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake ‘Twiga Stars’ imepangwa katika kundi lenye wapinzani watatu wagumu katika…

CCM yaahidi kuheshimu ratiba za kampeni serikali za mitaa
WANANCHI NEWS

CCM yaahidi kuheshimu ratiba za kampeni serikali za mitaa

MUKSININovember 23, 2024

Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho, kitaheshimu…

Yajue majukumu ya Polisi wakati wa kampeni
WANANCHI NEWS

Yajue majukumu ya Polisi wakati wa kampeni

MUKSININovember 23, 2024

 Dar es Salaam. Katika safari ya demokrasia nchini, uchaguzi wa serikali za mitaa ni msingi wa kujenga jamii imara inayojali…

Polisi wamng’ang’ania Mdude, wataja sababu
WANANCHI NEWS

Polisi wamng’ang’ania Mdude, wataja sababu

MUKSININovember 23, 2024

Songwe. Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake wakiachiwa kwa dhamana, kada wa chama…

Lebanon: Inachofanya Israel ni “msururu wa jinai za kivita” kwa kushambulia sekta ya tiba
SWAHILI NEWS

Lebanon: Inachofanya Israel ni “msururu wa jinai za kivita” kwa kushambulia sekta ya tiba

MUKSININovember 23, 2024

Wizara ya Afya ya Lebanon imeushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kufanya ilichokiita “msururu wa jinai za kivita” katika…

Hospitali ya Kamal Adwan huko Gaza inakabiliwa na uhaba wa maji na oksijeni
SWAHILI NEWS

Hospitali ya Kamal Adwan huko Gaza inakabiliwa na uhaba wa maji na oksijeni

MUKSININovember 23, 2024

Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, Hospitali ya Kamal Adwan iliyoko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza inakabiliwa na uhaba…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us