HRW: Watoto 10 wauawa katika maandamano ya uchaguzi Msumbiji
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa askari usalama wa Msumbiji vimewauwa watoto wasiopungua 10…
Mizozo ya kijeshi duniani
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa askari usalama wa Msumbiji vimewauwa watoto wasiopungua 10…
Ripoti ya waangalizi wa kimataifa iliyotolewa jana Jumanne imesema kwamba mizozo, machafuko na majanga kote barani Afrika yameongeza mara tatu…
Mji wa El Fasher, magharibi mwa Sudan, umeshuhudia mapigano kati ya jeshi na Vikosi vya kundi la Msaada wa Haraka…
Baada ya shambulio la hivi majuzi la kigaidi dhidi ya Mashia wa Parachinar katika Wilaya ya Kurram nchini Pakistani, mamlaka…
Leo ni Jumatano tarehe 25 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Novemba 2024 Milaadia. Tarehe 27…
Moshi. Timu inayochunguza tukio la wanafunzi 15 wa Shule ya Sekondari Sanya Day, Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro waliokamatwa…
Dodoma. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetahadharisha mambo matatu kwa benki za biashara na Watanzania wakati wa shughuli ya uondoaji…
Matokeo ya kufungwa mabao 2-0 nyumbani kutoka kwa Al Hilal kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yameendeleza mkosi ambao Yanga imekuwa…
Arusha. Polisi mkoani Arusha wameanza msako wa kuwatafuta watuhumiwa waliohusika na tukio la kumshambulia na kumjeruhi mtoto wa kike wa…
Dar es Salaam. Baada ya pilikapilika za kampeni kesho Watanzania watafanya uamuzi wa kuwachagua viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji…
Dar es Salaam. Wakati saa chache zimesalia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, wanahakati wa Kituo cha Taarifa na Maarifa…
Dar es Salaam. Wakati kesho Jumatano Novemba 27, 2024 Watanzania wakitarajiwa kupiga kura kuwachagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji…
Yanga imeanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikifungwa mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Al Hilal kwenye…
Unguja. Licha ya kuwa na kituo cha afya kilichojengwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), wajawazito wa visiwa vya…
Dar es Salaam. Chapa ya kampuni ya huduma za simu ya Tigo Tanzania imebadilishwa na sasa itakujulikana kwaa jina la…
Songea. Mkuu wa Programu wa Wizara ya Afya, Dk Catherine Joachim amesema takwimu zinaonesha Mkoa wa Ruvuma ni kinara katika…
Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja ameachiwa kwa dhamana. Mgonja alikamatwa na…
Katika mkutano wa 29 wa mwaka wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Silaha za Kemikali (CWC) huko The Hague, nchi…
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasisitiza…
Dar es Salaam. Msajili wa Jumuiya za Kidini na Vyama vya Kijamii, Kabidhi Wasihi Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),…
Mwanaume mmoja raia wa Russia aliyepatikana na hatia mapema mwaka huu kwa kuchoma moto nakala ya kitabu kitakatifu cha Waislamu,…
Tarime. Wakati Serikali ikijitayarisha kwa maziko ya watu wanane wa familia moja waliofariki dunia kwa kusombwa na maji wilayani Tarime,…
Kamanda wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini Iran amesema kuwa Majeshi ya Iran yameandaa jibu kali kwa shambulio…
Waziri wa Masuala ya Kiuchumi na Fedha wa Iran amesema kuongezeka kwa uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu katika mfumo mpya…
Afrika Kusini Jumatatu ilisisitiza wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja huko Palestina na Lebanon na kuanzishwa kwa mchakato wa…
Dar es Saalam. Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya soka ya mpira wa miguu, Simba Sport Club, Muharami Sultani…
Raia wa Namibia watapiga kura siku ya Jumatano kumchagua rais mpya na wabunge wa Bunge la Kitaifa katika kinyang’anyiro ambacho…
Imebainika kuwa wanawake na wasichana 140 walifariki dunia kila siku duniani kote mwaka 2023 wakiwa mikononi mwa watu wa karibu,…
Mwanza. Ikiwa imebaki siku moja kufanyika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kuwa mgombea…
Dar es Salaam. Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29,…
Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewakamata watu 62 wakiwamo raia saba wa Burundi kwa kuingia nchini bila kibali…
Musoma. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inakabiliwa na upungufu wa magari mawili ya…
Dar es Salaam. Katika miaka yake zaidi ya 18 katika muziki, Barnaba amekuwa akisifika kwa utunzi mzuri na uimbaji wenye kushawishi…
Mbeya. Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imeahirisha shauri la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude…
Dar es Salaam. Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kutekelezwa haraka na kikamilifu hati…
Kituo cha Habari cha Palestina kimetangaza kuwa, watoto 17,400 wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu yalipoanza mashambulizi ya kinyama ya utawala…
London, England. Leo na kesho ni kivumbi cha Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ambako rekodi zinatarajiwa kuwekwa katika mechi mbalimbali…
Maelfu ya waandamanaji wanaotaka kuachiliwa huru waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan anayetumikia kifungo jela wamekaidi vizuizi vya…
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya anayemaliza muda wake Josep Borrell ametoa indhari kuwa mustakabali wa umoja…
Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Yoav Gallant anapanga kusafiri kuelekea Marekani licha ya Mahakama…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaoandikishwa katika makundi yenye silaha nchini…
Dar es Salaam. “Naifahamu na nimekuwa naitumia, inarahisisha kuandika insha, yaani ukiwa na swali lako unaandika tu kwa haraka inakujibu.…
Yanga inaingia Uwanja wa Mkapa leo kuvaana na Al Hilal ya Sudan, huku ikiwa na rekodi bora zaidi kwenye michezo…
Mwisho wa mwaka umekaribia na shule zinatarajiwa kufungwa kwa mapumziko ya likizo ya mwaka. Ingawa likizo ni wakati wa kupumzika,…
Tuanze tafakari ya leo na maneno ya busara ya Farrah Gray, Mmarekani mfanyabiashara maarufu, mwenye asili ya Afrika, aliyeandika: ‘’Jenga…
Moshi. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kutoa mafunzo ya teknolojia ya Akili Mnemba…
Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amesema yeye na mzazi mwenzie Paula Paul ni watu wanaoaminiana ndiyo maana…
Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas…
Watu wasiopungua 30 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya magenge yenye silaha yaliyojiri kwa muda wa siku tatu…