Aliyekuwa kocha wa Simba afikisha siku 736 rumande bila upelelezi kukamilika
Dar es Saalam. Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya soka ya mpira wa miguu, Simba Sport Club, Muharami Sultani…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Saalam. Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya soka ya mpira wa miguu, Simba Sport Club, Muharami Sultani…
Raia wa Namibia watapiga kura siku ya Jumatano kumchagua rais mpya na wabunge wa Bunge la Kitaifa katika kinyang’anyiro ambacho…
Imebainika kuwa wanawake na wasichana 140 walifariki dunia kila siku duniani kote mwaka 2023 wakiwa mikononi mwa watu wa karibu,…
Mwanza. Ikiwa imebaki siku moja kufanyika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kuwa mgombea…
Dar es Salaam. Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29,…
Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewakamata watu 62 wakiwamo raia saba wa Burundi kwa kuingia nchini bila kibali…
Musoma. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inakabiliwa na upungufu wa magari mawili ya…
Dar es Salaam. Katika miaka yake zaidi ya 18 katika muziki, Barnaba amekuwa akisifika kwa utunzi mzuri na uimbaji wenye kushawishi…
Mbeya. Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imeahirisha shauri la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude…
Dar es Salaam. Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kutekelezwa haraka na kikamilifu hati…
Kituo cha Habari cha Palestina kimetangaza kuwa, watoto 17,400 wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu yalipoanza mashambulizi ya kinyama ya utawala…
London, England. Leo na kesho ni kivumbi cha Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ambako rekodi zinatarajiwa kuwekwa katika mechi mbalimbali…
Maelfu ya waandamanaji wanaotaka kuachiliwa huru waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan anayetumikia kifungo jela wamekaidi vizuizi vya…
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya anayemaliza muda wake Josep Borrell ametoa indhari kuwa mustakabali wa umoja…
Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Yoav Gallant anapanga kusafiri kuelekea Marekani licha ya Mahakama…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaoandikishwa katika makundi yenye silaha nchini…
Dar es Salaam. “Naifahamu na nimekuwa naitumia, inarahisisha kuandika insha, yaani ukiwa na swali lako unaandika tu kwa haraka inakujibu.…
Yanga inaingia Uwanja wa Mkapa leo kuvaana na Al Hilal ya Sudan, huku ikiwa na rekodi bora zaidi kwenye michezo…
Mwisho wa mwaka umekaribia na shule zinatarajiwa kufungwa kwa mapumziko ya likizo ya mwaka. Ingawa likizo ni wakati wa kupumzika,…
Tuanze tafakari ya leo na maneno ya busara ya Farrah Gray, Mmarekani mfanyabiashara maarufu, mwenye asili ya Afrika, aliyeandika: ‘’Jenga…
Moshi. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kutoa mafunzo ya teknolojia ya Akili Mnemba…
Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amesema yeye na mzazi mwenzie Paula Paul ni watu wanaoaminiana ndiyo maana…
Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas…
Watu wasiopungua 30 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya magenge yenye silaha yaliyojiri kwa muda wa siku tatu…
Baada ya mauaji ya kimbari huko Gaza na jinai dhidi ya Lebanon na pia mashambulizi ya mara kwa mara dhidi…
Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran)…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imevunja rekodi kwa kufanya zaidi ya operesheni 50 za kuutwanga utawala…
Shirika rasmi la habari la Sudan SUNA limeripoti kuwa, Umoja wa Mataifa unashirikiana na serikali ya nchi hiyo kutafuta wafadhili…
Umoja wa Mataifa jana Jumatatu ulitoa mwito kwa serikali ya Somalia kuongeza uwekezaji katika vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia…
Takriban watu 45, wakiwemo watalii 31 na wafanyakazi 14 wametoweka baada ya boti yao kuzama katika eneo la kaskazini mwa…
Leo ni Jumanne 24 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria mwafaka na tarehe 26 Novemba 2024. Katika siku kama ya leo miaka…
Dar es Salaam. Tanzania imefanikiwa kuokoa kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 4.95 kupitia Mfumo wa Usimamizi wa Ununuzi wa…
Babati. Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), umezindua kampeni maalumu ya siku 16 za kupinga ukatili wa…
Dar es Salaam.Katika jitihada za kuimarisha ujasiriamali na kukuza biashara nchini, Benki ya CRDB imeingia makubaliano na kampuni ya Puma…
Dar es Salaam. Wakati kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikifikia kilele kesho, vyama vitatu vya CCM, Chadema na…
Dar es Salaam. Baada ya kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanafikiria kuhama eneo hilo kwenda…
Dar es Salaam. Shilingi ya Tanzania imeimarika dhidi ya dola ya Marekani katika wiki za hivi karibuni hatua ambayo ni…
Songwe. Serikali mkoani hapa kwa kushirikiana na wadau wa elimu, imezindua kampeni maalumu yenye lengo la kuandikisha na kuwarejesha shuleni…
Dar es Salaam. Kesho ni Novemba 27, 2024 ni siku ambayo historia ya nchi itaandikwa kupitia sanduku la kura. Hii…
Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake wawili, Patrick Aussems na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na matokeo mabaya,…
Dar es Salaam. Daktari bingwa wa magonjwa ya akili na ubongo, Sadiki Mandari amewasilisha ripoti kuhusu afya ya akili ya…
Dar es Salaam. Paula Paul ambaye ni mtoto wa mwigizaji Kajala Masanja, na Mzalishaji muziki P Funk Majani, amesema yupo…
Dar es Salaam. Afrika imetajwa kuwa na nafasi ya kufanya vema katika uchumi wa kidijitali iwapo itaunganisha nguvu katika uzalishaji…
Kesho , Jumanne ya Novemba 26, Yanga itaikaribisha Al Hilal kutoka Sudan katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi…
Dar es Salaam. Dunia ikianza maadhimisho ya siku ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia (GBV) Chama cha Wanahabari…
Tarime. Miili ya watu wanane kati ya tisa wa familia moja waliofariki dunia kwa kusombwa na maji imeopolewa, huku jitihada…
Arusha. Mtoto wa miaka 16 (jina limehifadhiwa) kutoka wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha, amenusurika kifo baada ya kufanyiwa ukatili wa…
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemkuta na kesi ya kujibu raia wa Burundi Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu…
Leo tarehe Novemba 25 ni Siku ya Kimataifa ya Kupiga Marufuku Ukatili dhidi ya Wanawake. Hii ni katika hali ambayo…