Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
India: Watu sita wauawa baada ya mapigano Kashmir
RFI SWAHILI

India: Watu sita wauawa baada ya mapigano Kashmir

MUKSINIMarch 29, 2025

Maafisa wanne wa polisi na watu wawili wanaoshukiwa kuwa waasi wameuawa katika eneo la India la Kashmir, ambalo limekuwa chini…

WANANCHI NEWS

Chadema itakavyomkumbuka Balozi Mwapachu, uthubutu 2015 watajwa

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitamkumbuka Balozi Juma Mwapachu kwa uthubutu wake hususani wakati wa…

KAULI YA BODI YA LIGI KUHUSU WADHAMINI LIGI KUU BARA | HATMA YAO IKOJE?
MICHEZO

KAULI YA BODI YA LIGI KUHUSU WADHAMINI LIGI KUU BARA | HATMA YAO IKOJE?

MUKSINIMarch 29, 2025

PRIME Benchikha atia mkono Misri, aitaja Simba KOCHA wa zamani Simba, Abdelhak Benchikha, ambaye yupo nchini Misri akiifundisha Modern Sport,amewapa…

Jamaa wameupiga mwingi Ligi Kuu Bara
MICHEZO

Jamaa wameupiga mwingi Ligi Kuu Bara

MUKSINIMarch 29, 2025

WAKATI Ligi Kuu Bara inatarajiwa kurejea Jumanne, Aprili Mosi baada ya kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za…

Gabon: Sylvia na Noureddin Bongo hakika ‘waliteswa,’ kulingana na wakili wao
RFI SWAHILI

Gabon: Sylvia na Noureddin Bongo hakika ‘waliteswa,’ kulingana na wakili wao

MUKSINIMarch 29, 2025

Kinyume na kile rais wa mpito wa Gabon Brice Oligui Nguema alidai katika mahojiano aliyotoa kwa RFI na France 24…

SWAHILI NEWS

Wanawake wa Afrika na siri ya kubeba mizigo mizito karibu mara mbili zaidi ya uzito wao

MUKSINIMarch 29, 2025

Katika Afrika Mashariki, wanawake mara nyingi hubeba mizigo inayolingana na asilimia 70% ya uzito wa miili yao juu ya vichwa…

Chad: Viza za Marekani zasitishwa kutolewa kwa siku 90
RFI SWAHILI

Chad: Viza za Marekani zasitishwa kutolewa kwa siku 90

MUKSINIMarch 29, 2025

“Hakuna miadi ya visa inayoweza kufanywa katika Ubalozi wa Marekani huko Ndjamena.” Huu ndio ujumbe unaoonyeshwa sasa kwenye tovuti ya…

Guinea: Jenerali Mamadi Doumbouya atoa msamaha wa rais kwa Moussa Dadis Camara
RFI SWAHILI

Guinea: Jenerali Mamadi Doumbouya atoa msamaha wa rais kwa Moussa Dadis Camara

MUKSINIMarch 29, 2025

Katika agizo lililosomwa kwenye runinga ya Guinea jioni ya Ijumaa, Machi 28, mkuu wa serikali kuu ya Guinea, Jenerali Mamadi…

SADC na M23 watiliana saini makubaliano kuhusu kuondoka kwa SAMIDRC
RFI SWAHILI

SADC na M23 watiliana saini makubaliano kuhusu kuondoka kwa SAMIDRC

MUKSINIMarch 29, 2025

Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na kundi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda lililoiteka miji ya Goma…

MIZOZO TU

Umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds katika uga wa kikanda na kimataifa

MUKSINIMarch 29, 2025

Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds yalifanyika jana Ijumaa tarehe 28 Machi nchini Iran na katika miji na…

Watu waliofariki katika tetemeko la ardhi Myanmar na Thailand wamepita 1,000
RFI SWAHILI

Watu waliofariki katika tetemeko la ardhi Myanmar na Thailand wamepita 1,000

MUKSINIMarch 29, 2025

Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Myanmar na Thailand imepita watu Elfu Moja. Imechapishwa: 29/03/2025 –…

Qatar yakutana tena na wajumbe wa Kongo na Rwanda, pia yakutana na waasi, duru zinasema
RFI SWAHILI

Qatar yakutana tena na wajumbe wa Kongo na Rwanda, pia yakutana na waasi, duru zinasema

MUKSINIMarch 29, 2025

Maafisa wa Kongo na Rwanda wamefanya mazungumzo siku ya Ijumaa, wakati wawakilishi wa M23 wamekutana kando na wapatanishi wa Qatar,…

MIZOZO TU

Mijumuiko ya Siku ya Quds yafanyika nchini Kenya

MUKSINIMarch 29, 2025

Maandamano na mijumuiko ya siku ya kimataifa ya Quds imefanyika maeneo mbali mbali nchini Kenya katika ijumaa ya mwisho ya…

WANANCHI NEWS

Ssali alivyoacha alama na mahojiano ya vigogo

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam.  Sauti ya Shaka Ssali (71), aliyekuwa mtangazaji maarufu wa Kituo cha Televisheni cha Sauti ya Marekani (VOA),…

MIZOZO TU

Sudan Kusini yasema Naibu Rais Machar alikamatwa akijaribu kuchochea uasi

MUKSINIMarch 29, 2025

Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kwamba Naibu Rais wa Kwanza, Riek Machar, amekamatwa na atachunguzwa kwa tuhuma za kujaribu kuchochea…

MIZOZO TU

Azma ya Iran ya kutekeleza operesheni ya tatu ya kijeshi dhidi ya Israel

MUKSINIMarch 29, 2025

Mshauri mwandamizi wa kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amethibitisha kwamba Iran itatekeleza operesheni…

MIZOZO TU

Iran yalaani shambulio la anga la Israel dhidi ya Beirut

MUKSINIMarch 29, 2025

Iran imelaani vikali shambulio kubwa la anga la utawala haramu Israel kwenye maeneo ya makazi katika mji mkuu wa Lebanon,…

MIZOZO TU

Israel inashinikiza nchi za Afrika kuchukua Wapalestina wa Gaza

MUKSINIMarch 29, 2025

Utawala ghasibu wa Isarel umeelekeza shirika lake la ujasusi la Mossad kutafuta nchi ambazo zitaafiki mpango wa kupokea idadi kubwa…

WANANCHI NEWS

Anko Kitime: Pepe Kalle wa Yanga Afrika

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Alijulikana zaidi kwa jina la Pepe Kalle, lakini jina lake halisi lilikuwa Jean-Baptiste Kabasele Yampanya wa ba…

WANANCHI NEWS

Argentina yamfukuzisha kocha Brazil

MUKSINIMarch 29, 2025

Brazil imemfukuza kocha mkuu wa timu ya taifa ya nchi hiyo ‘Selecao’, Dorival Junior siku mbili baada ya kupokea kichapo…

WANANCHI NEWS

Balozi Mwapachu afariki dunia, January amlilia

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Mwanadiplomasia Balozi Juma Mwapachu (82) amefariki dunia leo Machi 28, 2025 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),…

WANANCHI NEWS

Jennifer Lopez apata kiota kipya

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Mwimbaji wa Marekani, Jennifer Lopez a.k.a J.Lo anaripotiwa kununua nyumba mpya yenye thamani ya Dola 18 milioni…

WANANCHI NEWS

Tetemeko la ardhi laua 1,000 Myanmar, maelfu wajeruhiwa

MUKSINIMarch 29, 2025

Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha 7.7 lililopiga Myanmar limeleta maafa makubwa, huku idadi ya vifo ikiripotiwa…

SWAHILI NEWS

Idadi ya waliokufa kwenye tetemeko la ardhi Myanmar yafikia 1,000

MUKSINIMarch 29, 2025

Tetemeko hilo la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 lilipiga pia katika nchi jirani za China na Thailand na kusababisha mascara…

SWAHILI NEWS

‘Dini kwanza kabla ya soka’, maisha ya wanasoka kwenye mfungo wa Ramadhani

MUKSINIMarch 29, 2025

”Huwa rahisi zaidi iwapo unapata usaidizi kutoka kwa timu nzima, kuanzia wachezaji hadi wafanyikazi”, anasema Ouattara

WANANCHI NEWS

Matovolwa: Mimi handsome kuliko wao 

MUKSINIMarch 29, 2025

Dar es Salaam. Unaweza kumuita jitu la miraba minne,  bonge la bwana au kibonge mwepesi kutokana na mwonekano wake. Mwili…

SWAHILI NEWS

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Newcastle yamtaka Nunez, Reds ina matumaini ya kumnasa Isak

MUKSINIMarch 29, 2025

Wakati Nottingham Forest na Newcastle zikimtaka Nunez, Isak wa Newcastele anasakwa na Liverpool

MIZOZO TU

Qalibaf: Utawala wa Kizayuni ni mtambo wa mauaji wa Marekani mtendajinai

MUKSINIMarch 29, 2025

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: “Utawala wa Kizayuni wa Israel ni mashine ya mauaji ya…

MIZOZO TU

Siku ya Quds: Mamilioni ya Wayemen washiriki maandamano ya kuiunga mkono Palestina

MUKSINIMarch 29, 2025

Wananchi wa Yemen jana walijitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya kuunga mkono kadhia ya Palestina ikiwa ni katika Ijumaa ya…

MIZOZO TU

Russia: BRICS kuanzisha mfumo wa malipo wa ‘dijitali’ kwa wanachama

MUKSINIMarch 29, 2025

Waziri wa Fedha wa Russia amesema kuwa nchi wanachama wa kundi la BRICS zinachunguza hatua kadhaa za ubunifu wa kifedha…

MIZOZO TU

Tahadhari kuhusu kukamatwa wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina nchini Marekani

MUKSINIMarch 29, 2025

Tovuti ya Axios imeonya kuhusu kuendelea kukamatwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoiunga mkono na kuitetea Palestina nchini Marekani.

MIZOZO TU

Ufaransa: Kesi ya Sarkozy na “dili” la nyuma ya pazia na Gaddafi yaendelea

MUKSINIMarch 29, 2025

Kesi inayoendelea kwa miezi kadhaa ya rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy kuhusu madai ya kufadhili kampeni yake ya…

MIZOZO TU

UNICEF: Machafuko na njaa vinatishia maisha ya maelfu ya watoto wa Sudan

MUKSINIMarch 29, 2025

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, ghasia na njaa vinatishia maisha ya watoto wa Sudan…

MIZOZO TU

Kushadidi maandamano na malalamiko ya kisiasa huko Israel

MUKSINIMarch 29, 2025

Huku maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yakifanyika katika nchi mbalimbali kwa ajili ya kuunga mkono Palestina na kulaani…

MIZOZO TU

Jumamosi, Machi 29, 2025

MUKSINIMarch 29, 2025

Leo ni Jumamosi tarehe 28 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 29 Machi mwaka 2025 Milaadia.

WANANCHI NEWS

Lissu alia mfumo wa uchaguzi kukibeba CCM

MUKSINIMarch 28, 2025

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi…

WANANCHI NEWS

Othman atumia kilichojiri Bunge la Katiba kuonya vijana

MUKSINIMarch 28, 2025

Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amewataka wanafunzi katika utafutaji elimu na maisha, wakumbuke kusimamia…

WANANCHI NEWS

Mvua zazua kizaazaa

MUKSINIMarch 28, 2025

Dar/Mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi wakiaswa kuhama. Wilayani Ilala mkoani…

WANANCHI NEWS

Watuhumiwa wa wizi wa shehena ya mafuta waendelea kusota rumande

MUKSINIMarch 28, 2025

Morogoro. Watuhumiwa wanne wa wizi wa mafuta aina ya diesel yaliyokuwa yakisafirishwa kutoka Dar es Salaam kwenda Lubumbashi nchini Jamhuri…

WANANCHI NEWS

Wenye betri ya moyo ushauri hii inawafaa

MUKSINIMarch 28, 2025

Dar es Salaam. Kama una shida ya moyo na umepandikizwa betri ya moyo,  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshauri matumizi…

WANANCHI NEWS

Bodaboda auawa akidaiwa kufumaniwa na mke wa mtu

MUKSINIMarch 28, 2025

Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Dereva wa Pikipiki (Bodaboda), Mhochi Herman (29), inadaiwa ameuawa kwa kushambuliwa sehemu…

WANANCHI NEWS

Makonda awaonya watakaovuruga mchakato ujenzi wa stendi, soko

MUKSINIMarch 28, 2025

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameonya na kukemea chokochoko za atakayeingilia mchakato wa kumpata mkandarasi wa kujenga…

WANANCHI NEWS

Jela miaka mwili kwa kujifanya ofisa wa Takukuru

MUKSINIMarch 28, 2025

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Kisutu, imemhukumu mfanyabiashara Edson Beyanga(37), kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na…

WANANCHI NEWS

Makalla awatupia kijembe Chadema

MUKSINIMarch 28, 2025

Mafinga. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka watiania ubunge na udiwani kwa tiketi ya Chadema,…

WANANCHI NEWS

Wachumi: Fanyeni haya kukabili hasara ya mashirika ya umma

MUKSINIMarch 28, 2025

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwasilisha ripoti ya ukaguzi…

WANANCHI NEWS

Wasira awavaa wabunge wa viti maalumu wanaohonga ili wachaguliwe

MUKSINIMarch 28, 2025

Kishapu. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewavaa wabunge wa viti maalumu akiwataka waache kuwahonga wanawake…

Trump aiomba Mahakama ya Juu kuondoa marufuku ya kuwafukuza wahamiaji chini ya sheria ya dharura
RFI SWAHILI

Trump aiomba Mahakama ya Juu kuondoa marufuku ya kuwafukuza wahamiaji chini ya sheria ya dharura

MUKSINIMarch 28, 2025

Utawala wa Trump siku ya Ijumaa, Machi 28, umeiomba Mahakama ya Juu kuondoa marufuku ya jaji wa shirikisho ya kuwafukuza…

UN yatangaza kushuka kwa asilimia 40 ya ufadhili wa msaada wa chakula
RFI SWAHILI

UN yatangaza kushuka kwa asilimia 40 ya ufadhili wa msaada wa chakula

MUKSINIMarch 28, 2025

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza Ijumaa, Machi 28, kushuka kwa asilimia 40 ya…

WANANCHI NEWS

Vijana, wanawake wafanyabiashara mipakani watakiwa kuchangamkia soko huru Afrika

MUKSINIMarch 28, 2025

Arusha. Wanawake na vijana wanaojishughulisha na uuzaji wa bidhaa maeneo ya mipakani, wametakiwa kuzalisha bidhaa zenye ubora ili waweze kushiriki…

Mashirika nchini Rwanda yapigwa marufuku kushirikiana na Ubelgiji
RFI SWAHILI

Mashirika nchini Rwanda yapigwa marufuku kushirikiana na Ubelgiji

MUKSINIMarch 28, 2025

Serikali ya Rwanda, imepiga marufuku mashirika yote ya ndani na kimataifa yasiyokuwa ya kiserikali kushirikiana na taasisi za Ubelgiji, baada…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us