Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
MIZOZO TU

Azimio la Siku ya Kimataifa ya Quds: Tutakabiliana na uhasama wa Marekani na kuihami Palestina

MUKSINIMarch 28, 2025

Washiriki katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds wamesisitiza udharura wa kukabiliana vikali na uhasama wa Marekani…

WANANCHI NEWS

Rea yakamilisha miradi minne ya umeme kwa vijiji 5,259

MUKSINIMarch 28, 2025

Morogoro. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme…

WANANCHI NEWS

Tetemeko la ardhi latikisa Myanmar, Bangkok yaathirika

MUKSINIMarch 28, 2025

Myanmar. Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha richter limetokea Myanmar leo tarehe 28 Machi…

WANANCHI NEWS

Benki yaimarisha huduma za kidijitali, ujumuishaji wa kifedha kwa wananchi

MUKSINIMarch 28, 2025

Dar es Salaam. Benki ya NCBA Tanzania imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuimarisha ujumuishaji wa kifedha na mahusiano ya kijamii…

RFI SWAHILI

Myanmar na Thailand zatangaza hali ya dharura kutokana na tetemeko la ardhi

MUKSINIMarch 28, 2025

Mamia ya watu wamehofiwa kupoteza maisha nchini Myanmar na Thailand, huku wengine wakikwama kwenye vifusi baada ya jengo la orofa…

Kocha Yanga amshtukia Ikangalombo
MICHEZO

Kocha Yanga amshtukia Ikangalombo

MUKSINIMarch 28, 2025

YANGA inacheza na Songea United Jumamosi hii saa 10 jioni kwenye mechi ya FA. Lakini Kocha Hamdi Miloud kuna kitu…

Benchikha atia mkono Misri, aitaja Simba
MICHEZO

Benchikha atia mkono Misri, aitaja Simba

MUKSINIMarch 28, 2025

KOCHA wa zamani Simba, Abdelhak Benchikha, ambaye yupo nchini Misri akiifundisha Modern Sport,amewapa Simba mbinu tatu za haraka za kuwakabili…

WANANCHI NEWS

Zanzibar kuanza uwindaji wa kitalii

MUKSINIMarch 28, 2025

Unguja. Katika kuendeleza misitu na kukuza utalii, Zanzibar imepiga hatua nyingine baada ya kusaini makubaliano ya kufanya uwindaji wa kitalii…

Odinga yuko Juba kusaidia katika upatanishi kati ya rais Kiir na makamu wake
RFI SWAHILI

Odinga yuko Juba kusaidia katika upatanishi kati ya rais Kiir na makamu wake

MUKSINIMarch 28, 2025

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, yupo Juba nchini Sudan Kusini, kujaribu kuwapatanisha viongozi wakuu wa nchi hiyo, baada…

Kally asaka dawa mechi saba KMC
MICHEZO

Kally asaka dawa mechi saba KMC

MUKSINIMarch 28, 2025

LICHA ya kushindwa kubebwa na rekodi ya kupata matokeo mazuri mechi za ugenini Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Kally…

Yacouba Sogne ndo basi tena
MICHEZO

Yacouba Sogne ndo basi tena

MUKSINIMarch 28, 2025

MAJERAHA yamekiweka rehani kibarua cha staa wa zamani wa Yanga, Yacouba Sogne baada ya upasuaji wa goti nchini Morocco kukamilika…

WANANCHI NEWS

Polisi yaonya madereva, wahalifu sherehe za Idd

MUKSINIMarch 28, 2025

Unguja. Jeshi laPolisi Mkoa wa Mjini Magharibi limewataka wananchi kuitumia vyema sikukuu ya Idd el Fitr na isiwe chanzo cha…

Singida Black Stars ni Azam FC na Tabora United tu!
MICHEZO

Singida Black Stars ni Azam FC na Tabora United tu!

MUKSINIMarch 28, 2025

KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars (SBS), David Ouma amesema Azam FC na Tabora United zimeshika hatma ya timu hiyo…

WANANCHI NEWS

Aliyedaiwa kuua, kuchoma mwili moto alivyoepa kitanzi

MUKSINIMarch 28, 2025

Arusha. Mahakama ya Rufaa Tanzania imemwachia huru Alphonce Michael maarufu Rasi aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa, baada ya kutiwa hatiani kwa…

WANANCHI NEWS

Wakulima wa tumbaku wahoji yalipo mabilioni ya ruzuku

MUKSINIMarch 28, 2025

Mbeya. Wakulima wa zao la tumbaku, Wilaya ya kitumbaku Chunya Mkoa wa  Mbeya wameibua  hoja ya kutaka kujua zilipo Sh13…

Championship kuna vita nyingine Mbeya
MICHEZO

Championship kuna vita nyingine Mbeya

MUKSINIMarch 28, 2025

BAADA ya jana kupigwa michezo mitatu ya Ligi ya Championship katika viwanja mbalimbali, leo mechi moja nyingine itapigwa kati ya…

SWAHILI NEWS

Hivi ndivyo Kishikwambi (iPad) kilichotupwa mtoni miaka mitano iliyopita kilivyofichua njama kubwa za mauaji

MUKSINIMarch 26, 2025

Polisi waliweza kutumia Kishkwambia ama iPad kama ushahidi muhimu katika kesi ya watu watatu ambao walipanga kufanya mauaji

SWAHILI NEWS

Je, Shilingi ya Tanzania inaporomoka?Fahamu vigezo vya thamani na ufanisi wa sarafu

MUKSINIMarch 26, 2025

Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Shilingi ya Tanzania ilishuka thamani kwa asilimia 3.6. Lakini kuanzia Julai hadi Desemba 2024,…

HADITHI: Bomu Mkononi – 30
MICHEZO

HADITHI: Bomu Mkononi – 30

MUKSINIFebruary 10, 2025

SIMU ya upande wa pili ikakatwa. Nikabaki nimeduwaa nikiwaza. Taarifa ile sikuitarajia kabisa. Kama tukio hilo lingetokea wakati Mustafa hayupo,…

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 5
MICHEZO

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 5

MUKSINIFebruary 10, 2025

“UNA maana kwamba huyo mfungwa mko naye hadi sasa?”“Tuko naye.”“Kuna watu wameitambua picha yake wakidai kuwa amehusika katika tukio moja…

HADITHI: Bomu Mkononi – 29
MICHEZO

HADITHI: Bomu Mkononi – 29

MUKSINIFebruary 9, 2025

“WACHA we…!” “Nampa kila kitu anachotaka.” “Usiniambie…” “Ndio nakwambia shoga. Usione kimya, kimya kingi kina mshindo!” “Na kweli kina mshindo,…

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 4
MICHEZO

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 4

MUKSINIFebruary 9, 2025

ALIPOONDOKA Tegeta, Temba alielekea Segerea. Aliegesha gari nje ya gereza hilo akaelekea kwenye lango la kuingilia gerezani. Askari wa magereza…

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 3
MICHEZO

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 3

MUKSINIFebruary 9, 2025

ISAAC na Mkwetu wakazirudia tena zile picha zilizokuwa kwenye kuta. Walipomaliza kuzikagua picha zote walimwambia Temba hawajagundua picha nyingine. Ndipo…

HADITHI: Bomu Mkononi – 28
MICHEZO

HADITHI: Bomu Mkononi – 28

MUKSINIFebruary 9, 2025

SELE akasita kujibu. “Mchumba wangu mbona umenyamaza?” Nikamuuliza. “Naona unaniuliza maswali mengi, ninashindwa kukujibu.” “Haya nimekubali. Sasa umenichagulia jina gani?”…

HADITHI: Bomu Mkononi – 27
MICHEZO

HADITHI: Bomu Mkononi – 27

MUKSINIFebruary 7, 2025

“NDIO dada.” “Ukishakata simu nipigie tena. Nikipokea uniambie ninaitwa, shangazi amezidiwa. Umesikia?” “Sawa. Nitakupigia.” Simu ikakatwa. Nikatoka maliwatoni na kurudi…

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 2
MICHEZO

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 2

MUKSINIFebruary 7, 2025

MMOJA wa maafisa usalama aliyekuwa kiwanjani hapo alimwambia Temba, msichana mwenye jina la Myra alipokewa na watu wawili na kupakiwa…

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 1
MICHEZO

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 1

MUKSINIFebruary 7, 2025

MAGARI mawili aina ya Buty ya rangi nyeusi yalikuwa yakielekea kiwanja cha ndege kumpokea mgeni wa shani kutoka Ethiopia, Myra…

HADITHI: Bomu Mkononi – 26
MICHEZO

HADITHI: Bomu Mkononi – 26

MUKSINIFebruary 3, 2025

ATAJUA mwenyewe. “Halafu wewe utarudi saa ngapi?” “Atakapokuja nenda jikoni unipigie simu. Umenielewa?’ “Sawa.” Nikatoka. Nilipanda teksi nikaenda Ilala kwa…

HADITHI: Bomu Mkononi – 25
MICHEZO

HADITHI: Bomu Mkononi – 25

MUKSINIFebruary 3, 2025

ASUBUHI ya siku iliyofuata, Sele akanipigia simu kunijulisha kuwa alikuwa ameshaondoka. “Haya, safari njema,” nikamwambia. “Nikifika nitakufahamisha.” “Poa.” Jua lilikuwa…

WANANCHI NEWS

BENKI YA DUNIA YAIPATIA TANZANIA SHILINGI BILIONI 248 KUSAIDIA MAENDELEO YA WANAWAKE NA KUKABILIANA NA UKATILI WA KIJINSIA

December 12, 2024

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (katikati) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia – Tanzania, Bw.…

Haya hapa mafanikio ya kudhibiti mfumuko wa bei Tanzania
WANANCHI NEWS

Haya hapa mafanikio ya kudhibiti mfumuko wa bei Tanzania

MUKSININovember 28, 2024

Katika ulimwengu wa uchumi wenye mabadiliko yasiyotabirika, Tanzania imefanikiwa kwa jambo la kipekee, imeweza kudhibiti mfumuko wa bei kwa kiwango…

Wakati wa kupanga usisahau mipango midogo ya kifedha
WANANCHI NEWS

Wakati wa kupanga usisahau mipango midogo ya kifedha

MUKSININovember 28, 2024

Mzee Hamisi alikuwa mwajiriwa katika wizara moja nyeti ya Serikali. Akiwa mtumishi mwandamizi na mkuu wa kitengo, mzee Hamisi alikuwa…

Ya kuzingatia wakati na kabla kukopa
WANANCHI NEWS

Ya kuzingatia wakati na kabla kukopa

MUKSININovember 28, 2024

Kukopa ni uamuzi muhimu sana katika maisha ya mtu, hasa anapotaka kukuza biashara au mradi wake. Hata hivyo, kabla ya…

Kilichojificha utoroshaji dhahabu, athari zake kiuchumi
WANANCHI NEWS

Kilichojificha utoroshaji dhahabu, athari zake kiuchumi

MUKSININovember 28, 2024

Kutokuwepo kwa uwiano wa kodi kati ya Tanzania na nchi jirani kunatajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazosababisha mazingira yasiyo sawa,…

Safari ya ujasiri, mabadiliko kupinga ukeketaji -2
WANANCHI NEWS

Safari ya ujasiri, mabadiliko kupinga ukeketaji -2

MUKSININovember 28, 2024

Arusha. Kuna nyakati ni ngumu kutambua ubaya wa jambo linalofanyika kwa wakati huo kutokana na madhara yake kuchukua muda mrefu.…

Amorim katika mtihani wa Europa League
WANANCHI NEWS

Amorim katika mtihani wa Europa League

MUKSININovember 28, 2024

MANCHESTER, ENGLAND: Leo itakuwa ni mwendelezo wa michuano ya Europa League ambapo kocha wa Manchester United, Ruben Amorim atakuwa na mtihani…

Mawakala CCM, Chadema wakimbia na maboksi ya kura Nzega
WANANCHI NEWS

Mawakala CCM, Chadema wakimbia na maboksi ya kura Nzega

MUKSININovember 27, 2024

Tabora. Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM)…

Mchengerwa: Uchaguzi umekwenda vizuri, matokeo ya jumla kesho
WANANCHI NEWS

Mchengerwa: Uchaguzi umekwenda vizuri, matokeo ya jumla kesho

MUKSININovember 27, 2024

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema…

Polisi washikilia wanne vurugu za uchaguzi Tanga
WANANCHI NEWS

Polisi washikilia wanne vurugu za uchaguzi Tanga

MUKSININovember 27, 2024

Tanga. Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya…

Mgombea Chadema Dar adaiwa kuuawa, Polisi yasema amefariki kwa ‘Presha’
WANANCHI NEWS

Mgombea Chadema Dar adaiwa kuuawa, Polisi yasema amefariki kwa ‘Presha’

MUKSININovember 27, 2024

Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A,…

Makada wa Chadema mbaroni madai kukimbia na boksi la kura, wakana
WANANCHI NEWS

Makada wa Chadema mbaroni madai kukimbia na boksi la kura, wakana

MUKSININovember 27, 2024

Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu wanne wakiwemo mawakala wawili wa Chadema na mgombea uenyekiti wa chama…

Wenye nyumba wanavyoweza kuepuka jinai kwa makosa ya wapangaji
WANANCHI NEWS

Wenye nyumba wanavyoweza kuepuka jinai kwa makosa ya wapangaji

MUKSININovember 27, 2024

Dar es Salaam. Onyo la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) kwa wamiliki wa nyumba…

Samia amteua Profesa Mwakyusa kuwa mkuu wa Muhas
WANANCHI NEWS

Samia amteua Profesa Mwakyusa kuwa mkuu wa Muhas

MUKSININovember 27, 2024

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa umma akiwemo Profesa David Mwakyusa aliyeteuliwa kuwa…

Mahakama yaelezwa magunia 10 ya bangi yalivyosafirishwa, kuuzwa Dar
WANANCHI NEWS

Mahakama yaelezwa magunia 10 ya bangi yalivyosafirishwa, kuuzwa Dar

MUKSININovember 27, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imelezwa jinsi dereva, Peter Mdegela alivyokutwa na magunia 10 ya bangi ndani…

Sh17 bilioni zakusanywa kodi ya miamala ya simu
WANANCHI NEWS

Sh17 bilioni zakusanywa kodi ya miamala ya simu

MUKSININovember 27, 2024

Unguja. Katika kipindi cha miaka miwili 2022/23 na 2023/24 Sh17.985 bilioni zimekusanywa Zanzibar katika kodi ya miamala ya simu. Kiwango…

Wasemavyo wapiga kura Mkoa wa Kilimanjaro
WANANCHI NEWS

Wasemavyo wapiga kura Mkoa wa Kilimanjaro

MUKSININovember 27, 2024

Kilimanjaro. Wakati kazi ya kupiga kura ikiwa imemalizika katika vituo vya kupigia kura Mkoani Kilimanjaro na maeneo mengi nchini, baadhi…

Sheria ya madini kuchochea uchumi Zanzibar
WANANCHI NEWS

Sheria ya madini kuchochea uchumi Zanzibar

MUKSININovember 27, 2024

Unguja. Wizara ya Maji, Nishati na Madini Zanzibar, imeanza maandalizi ya sheria mpya ya madini ikiwa ni mkakati wa kusimamia…

Kiongozi Chadema alalama wapigakura wasio sahihi kupiga kura
WANANCHI NEWS

Kiongozi Chadema alalama wapigakura wasio sahihi kupiga kura

MUKSININovember 27, 2024

Dodoma. Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga amesimamisha kwa muda shughuli za uchaguzi…

S2Kizzy kutoka kwa Country Boy hadi kumfikia Diamond
WANANCHI NEWS

S2Kizzy kutoka kwa Country Boy hadi kumfikia Diamond

MUKSININovember 27, 2024

Dar es Saalam. Namna ambavyo muziki wa Bongo Fleva unavyozidi kupaa. Nyuma yake kuna kazi kubwa ya maproduza wanaofanya vizuri…

Universal Pictures yatoa ufafanuzi sakata la Ariana na Cynthia
WANANCHI NEWS

Universal Pictures yatoa ufafanuzi sakata la Ariana na Cynthia

MUKSININovember 27, 2024

Marekani. Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa filamu nchini Marekani ‘Universal Pictures’ imetoa tamko kuhusiana na minong’ono ya mashabiki kupitia…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us