Serikali ya Al-Jolani Syria kuanzisha uhusiano rasmi na Israel mwishoni mwa 2026
Mwanadiplomasia mmoja wa Uingereza amefichua kuwa kiongozi wa kundi la wanamgambo la Hay-at Tahrir al-Sham HTS Abu Mohammed al-Jolani ameihakikishia…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mwanadiplomasia mmoja wa Uingereza amefichua kuwa kiongozi wa kundi la wanamgambo la Hay-at Tahrir al-Sham HTS Abu Mohammed al-Jolani ameihakikishia…
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema kutenguliwa kwake katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ni kinyume cha…
Duru za habari zimeripoti kuwa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati imeweka mtambo wa rada wa utawala wa…
Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vinatimiza miaka miwili na kuanza mwaka wa tatu, Katibu Mkuu wa Umoja…
Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani angali ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya…
Viwanja vya Mkwakwani Tanga na Tanzanite Kwaraa, Babati, Manyara vimechaguliwa kuandaa mechi za nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la…
Je, kurejea kwa Bw Kabila kutakuwa na athari gani katika eneo hilo lenye vita, ambapo waasi wa M23 wameteka maeneo…
Unguja. Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imeridhia kwa kauli moja kwamba chama hicho kishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025…
Rukwa. Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tukio linalomhusisha mwanafunzi wa kidato cha nne, Julitha…
The post UFAFANUZI WA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA KUHUSU MALIPO YA WATUMISHI WALIOONDOLEWA KWENYE UTUMISHI WA UMMA KWA…
Dar es Salaam. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart), katika mwaka wa fedha 2025/26, unatarajiwa kukamilisha ununuzi…
Dar es Salaam. Wakati vuguvugu kuhusu ukomo wa kusainiwa kwa kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu likishika kasi, Chama cha…
Israel inaamini kuwa Iran yenye silaha za nyuklia ambayo haikubali uwepo wa Israel itakuwa tishio kubwa kwa Israel. BBC News…
Israel inaamini kuwa Iran yenye silaha za nyuklia ambayo haikubali uwepo wa Israel itakuwa tishio kubwa kwa Israel.
Kazem Gharibabadi, Naibu Waziri wa Masuala ya Kisheria na Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewasilisha bungeni makadirio ya mapato…
Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege, amezindua rasmi malori saba ya kubebea…
Na Gideon Gregory, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa…
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb,) amesema kuwa Serikali itaendelea kukaa…
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Yusuph Athuman ametua katika timu ya Yangon United inayoshiriki Ligi Kuu ya Mynammar kwa mkataba…
Edison Arantes do Nascimento au Pele (1940-2022) alikuwa mchezaji bora aliyeisaidia Brazil kutwaa kombe la Dunia mara tatu na alikuwa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwasilisha Makadirio ya mapato…
Jeshi la Sudan jana lilitangaza kuwa limesonga mbele katika eneo la Omdurman Magharibi na kukomboa maeneo matatu na kambi moja…
Wafugaji waliokuwa na silaha jana Jumanne waliishambulia jamii ya Otobi katika Jimbo la Benue kaskazini-kati mwa Nigeria, siku moja baada…
Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa EU inapasa kuwa na mchango athirifu katika kuasisi mfumo mpya wa dunia huku…
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza mashambulizi na hujuma zao za mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya…
Chombo kimoja cha habari cha Marekani kimeripoti kuwa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameitisha mkutano kuhusu mazungumzo yanayoendelea kuhusu…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O.Mchengerwa akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha…
Gaza. Jeshi la Israel (IDF) limedai kuwa kiongozi Mwandamizi wa Hamas ameuawa katika operesheni ya pamoja na Shirika la Kijasusi…
Na WMJJWMM, Tarime – Mara Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Felister Mdemu…
Barcelona na PSG zimetinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kupokea vichapo katika mechi zao…
Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Marekani, Sean Kingston ametupwa jela baada ya kushindwa kulipa dhamana ya dola 100,000 zaidi ya…
Dar es Salaam. Msanii wa Muziki wa Hip-Hop nchini, Conboi amemtaja Marioo kuwa ni msanii namba moja kwake huku akibainisha…
Mchakato wa kumtafuta Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa (UN), unaotarajiwa kukamilika mwaka 2026, tayari umeanza. Kwa kuwa tuliadhimisha…
Kiev. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amemfukuza kazi Mkuu wa Utawala wa Kijeshi katika Mkoa wa Sumy nchini humo, Vladimir…
Naweza kusema ni kipindi kigumu ambacho Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinapitia kwa sasa. Ni wazi kuwa chama hiki…
Viongozi wa vyama vikuu vya siasa nchini Canada watakutana siku leo Jumatano jioni kwa mdahalo kwa lugha ya Kifaransa huko…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni…
Huenda hujawahi kusikia kuhusu choline hapo awali, lakini tafiti zinaonesha kuwa ni muhimu sana kwa afya yetu katika hatua mbalimbali…
China imeamuru mashirika yake ya ndege kusitisha uwasilishaji wote wa ndege kutoka kwa kampuni ya kutengeneza ndege ya Marekani ya…
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kufichua kuwa mara zote alikuwa akibeba na kusoma kwa kurejea mara…
Dar es Salaam. Katika jamii nyingi, ndevu zimekuwa ishara ya uanamume, mvuto na hata heshima. Wanawake wengi huvutiwa na wanaume…
Idara ya Posta ya Hong Kong imetangaza siku ya Jumatano, Aprili 16, kwamba inasitisha usafirishaji wa vifurushi kwenda Marekani ili…
Katika miaka 50 Madrid imewahi kupindua matokeo ya kuwa nyuma kwa mabao 3 au zaidi mara moja tu dhidi ya…
Katika miaka 50 Madrid imewahi kupindua matokeo ya kuwa nyuma kwa mabao 3 au zaidi mara moja tu dhidi ya…
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mabadiliko ya ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba kuwania…
Rais wa zamani wa Peru Ollanta Humala, 62, amehukumiwa siku ya Jumanne, Aprili 15, kifungo cha miaka 15 jela kwa…
Mjadala wa siasa kwa sasa ni Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, kupoteza sifa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025,…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki BBC News…
Baada ya mazungumzo ya zaidi ya miaka mitatu, nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeidhinisha makubaliano ya kihistoria…