Balozi aliyefukuzwa Marekani arejea Afrika Kusini, apokewa kishujaa
Cape Town. Ebrahim Rasool ambaye ni Balozi wa Afrika Kusini aliyefukuzwa nchini Marekani kutokana na mvutano na utawala wa Rais…
Mizozo ya kijeshi duniani
Cape Town. Ebrahim Rasool ambaye ni Balozi wa Afrika Kusini aliyefukuzwa nchini Marekani kutokana na mvutano na utawala wa Rais…
Dodoma. Maeneo 111 katika mikoa 24 yenye makazi duni na yanayoendelezwa kiholela nchini, yanaanza kufanyiwa maboresho kupitia upangaji upya wa…
Arusha. Zaidi ya sampuli 600 za mbogamboga hapa nchini zimeanza kufanyiwa utafiti wa awali wa utambuzi kujua uwezo, sifa na…
Singida. Changamoto ya uharibifu na msongamano wa magari katika daraja la juu ya Reli ya Kisasa (SGR) katika eneo la…
Seoul. Korea Kusini imekumbwa na janga la moto wa nyika unaoteketeza maeneo ya misitu na makazi kusini mashariki mwa nchi…
Dar es Salaam. Mechi ya kuzindua Uwanja wa Airtel ambayo itakutanisha timu mwenyeji Singida Black Stars na Yanga leo mjini…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk Samia Suluhu Hassan, ameweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo na…
Rais Masoud Pezeshkian amesema kwamba Marekani haiwezi kuiwamisha Iran katika jambo lake lolote lile iwapo taifa hili la Kiislamu litashikamana…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: “Majeshi na serikali yetu tumeijengea nchi kinga ya kutosha kiasi kwamba hakuna…
Balozi wa Afrika Kusini ambaye rais wa Marekani Donald Trump ametaka aondoke nchini humo kutokana na kukosoa sera zake, amerejea…
Licha ya kwamba usalama nchini Somalia ni mdogo kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya genge la kigaidi la…
Chombo kimoja cha habari cha lugha ya Kiebrania kimechapisha makala inayofichua mzozo mkubwa wa kutoaminiana ndani ya muundo wa mamlaka…
Utawala wa wa Kizayuni wa Israel Israel unaendelea kufanya jinai na mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa…
Waandishi wa habari kumi wa Uturuki, akiwemo mpiga picha kutoka shirika la habari la AFP, wamekamatwa siku ya Jumatatu, Machi…
Nchi ya Angola, imetangaza kujiondoa rasmi kama mpatanishi wa mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kupitia kiongozi…
Kwa kutilia maanani jaribio la utawala wa Trump la kuanzisha usitishaji vita nchini Ukraine kwa kuilazimisha ikubali masharti yaliyowekwa na…
Umoja wa Mataifa na washirika wake wametoa wito Jumatatu, Machi 24, wa karibu dola bilioni 1 kutoa msaada muhimu kwa…
Meya wa upinzani wa Istanbul Ekrem Imamoglu, aliyesimamishwa kazi na kufungwa Jumapili, Machi 23, ameteuliwa rasmi na chama chake kuwa…
Mtendaji Mkuu wa Singida Black Stars, Jonathan Kasano, amefichua kuwa kuanzia msimu ujao, jezi namba 12 haitavaliwa na mchezaji yeyote…
Rais wa Msumbiji Daniel Chapo amekutana na kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane kwa mazungumzo ya kujaribu kutuliza wasiwasi kwenye taifa…
Mwambusi ashtukia jambo Coastal Union KOCHA wa Costal Union ya Tanga, Juma Mwambusi, ameshtukia kitu ndani ya timu hiyo huku…
MTENDAJI Mkuu wa Singida Black Stars, Jonathan Kasano, amefichua kuwa kuanzia msimu ujao, jezi namba 12 haitavaliwa na mchezaji yeyote…
Dar es Salaam. Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 56,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024,…
Miaka mitano iliyopita, wanafunzi 14 pekee wa kike ndiyo walikuwa wakisoma kozi ya ubaharia kwenye chuo cha Bahari Dar es…
Dar es Salaam. Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 56,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024,…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu siku ya Jumatatu, Machi 24, amemshutumu mkuu wa Shin Bet, ambaye kutimuliwa kwake Ijumaa…
Ndege iliyokuwa imewabeba wahamiaji 199 waliofukuzwa nchini Marekani imewasili nchini Venezuela. Imechapishwa: 24/03/2025 – 09:48 Dakika 1 Matangazo ya kibiashara…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira za vita vipya vya…
Urusi na Marekani zimeanza mazungumzo nchini Saudi Arabia siku ya Jumatatu kujadili uwezekano wa kupatikana kwa usitishwaji vita nchini Ukraine,…
Dar es salaam. Karibu watu 9,000 wamepoteza maisha duniani kote katika njia za uhamiaji mwaka 2024. Vifo hivyo vinatajwa kuufanya…
Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha miaka 30 tangu kufanyika kwa mkutano wa Beijing mwaka 1995, mitazamo potofu, uwepo wa…
Katika jamii nyingi za Kiafrika kuna mila zinazotilia mkazo dhana ya uhusiano wa kifamilia na jinsi ambavyo familia zinavyoshirikiana ili…
Dar es Salaam. Leo ni siku ya kihistoria kwa wapenda soka wa Mkoa wa Singida na Tanzania kwa ujumla, wakati…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa na kutoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Esmail Barhoum…
Viongozi wa Rwanda wamekaribisha hatua ya waasi wa M23 ya kuondoka katika mji wa kistratejia na wenye utajiri wa madini…
Serikali ya Burkina Faso imelaani kuenea kwa video za upotoshaji kuhusu kujiri mauaji ya umati ya kikabila nchini humo. Serikali…
Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ametangaza kuwa Ulaya inachagiza mzozo wa UKraine kwa kuzidisha misaada ya kijeshi kwa nchi…
Robo tatu ya wasafiri wa baharini wa Marekani wanaopitia Bahari Nyekundu sasa wanalazimika kuzunguka eneo hilo na kupitia kusini mwa…
Dar es Salaam. Katika tasnia ya burudani Bongo hasa upande wa muziki, kuna ‘couple’ nyingi za mastaa ambazo mahusiano yao…
Shambulizi la anga la Israeli limepiga Hospitali ya Nasser huko Khan Younis, kusini mwa ardhi ya Palestina, Jumapili, Machi 23,…
Wakati huu, Urusi imechagua timu ya mazungumzo yenye wasifu tofauti sana na mara ya kwanza. Ujumbe uliopita uliongozwa na Sergei…
Dar es Salaam. Miaka kadhaa nyuma nilikuwa nafanya ‘interview’ na msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga. Ilikuwa ni kipindi ambacho…
Mahakama ya Kikatiba ya Korea Kusini siku Jumatatu, Machi 24, imetupilia mbali ombi la kutimuliwa kwa Waziri Mkuu Han Duck-soo,…
Dar es Salaam. Nyimbo zake za mwanzo kama Mafungu (2009) na Nivute Kwao (2011) ndizo zilimpatia umaarufu kimuziki Dayna Nyange…
Katika historia ya mamlaka ya kitaifa ya soka nchini, kuanzia FAT hadi TFF, ni Leodeger Tenga pekee ndiyo aliongoza na…
Katika miaka kumi iliyopita Tuzo ya Mchezaji Bora (MVP) wa Ligi Kuu Bara imekuwa na ushindani mkubwa huku wazawa wakichukua…
Dar es Salaam. Kauli yenye tuhuma iliyotolewa na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM),…
Dar/Mbeya. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitangaza kurejea kwa kada wake wa zamani, Dk Willibrod Slaa, wachambuzi wa…
Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii wa uigizaji Joyce Mbaga (32), maarufu Nicole Berry na mwenzake Rehema…
Mtwara. Baada ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara na mchimba madini Mussa Hamis, inayowakabili maofisa saba wa Jeshi la Polisi…