Kocha Al Masry ataja ugumu Simba
SIMBA inaendelea na hesabu zake ikijiandaa na mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kocha wa wapinzani…
Mizozo ya kijeshi duniani
SIMBA inaendelea na hesabu zake ikijiandaa na mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kocha wa wapinzani…
Arusha. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Masjala Ndogo ya Arusha, imetoa amri ya kutokutajwa majina…
Ikulu ya Marekani imethibitisha Jumatatu, Machi 24, kwamba mwandishi wa habari wa Marekani alijumuishwa kimakosa katika kikundi cha mazungumzo ya…
Bukoba. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa Kagera imewafikisha mahakamani wafanyabiashara watano wauzaji na wazalishaji vinywaji vikali wilayani Karagwe. Watano…
Nchini Senegal, Shirika la Fedha la Kimataifa linadai kuwa kati ya mwaka 2019 na 2024, deni la takriban dola bilioni…
Dar es Salaam. Saa 6:30 usiku wa kuamkia kesho Jumatano, Machi 26, 2025, timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’…
Kukamatwa na kufungwa kwa Meya wa Istanbul Ekrem Imamoğlu kumeendelea kuhamasisha umati wa watu tangu Machi 19. Wafuasi kadhaa wa…
Sudan Kusini iko ukingoni mwa vita vingine vya wenyewe kwa wenyewe, afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa…
Abiria 257 wa Shirika la Ndege la United Airlines walikumbwa na mshangao baada ya ndege yao kurejea ghafla Marekani, ikiwa…
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limesema siku ya Jumatatu linahitaji dola milioni 19.8 kwa dharura kulisha wakimbizi 120,000 ambao…
Mwanza. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chonchorio anadaiwa kupotea tangu Machi 23, 2025 baada ya…
Dar es Salaam. Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imewasili jana…
Paris, Ufaransa. Timu za Ufaransa, Hispania, Ujerumani na Ureno zimefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya UEFA Nations…
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la…
Mkutano kati ya ujumbe wa Marekani na kundi la wapatanish wa Urusi wa mpango wa kusitisha mapigano nchini Ukraine pamoja…
Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza habari ya kufanyika mashambulizi ya mafanikio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion…
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, عtawala wa Kizayuni…
Tanzania imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani (TB) ikisema kuwa, serikali imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Iran na Afghanistan wameandaa utaratibu…
Kuanzia jana Jumatatu, Somalia imekuwa rasmi mwanachama wa 53 wa Benki ya Mauzo ya Nje ya Afrika (Afreximbank) wakati huu…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF),…
Maandamano ya Siku ya Quds ya Kimataifa mwaka huu yamefanyika mapema jijini London Jumapili, Machi 23, na kuvutia maelfu ya…
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ametahadharisha kwamba hatua ya utawala wa Israel ya…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa haitashiriki katika mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani chini ya mashinikizo ya…
Angola imejiondoa kama mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Viwanda vya Kieletroniki Iran (IEI) amesema kuwa uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa Iran unategemea…
Dar es Salaam. Kuna hesabu Kali ambazo Yanga inazipiga kibabe ndani ya kikosi chao cha msimu ujao wakitaka kuingiza silaha…
Wiki iliyopita, umma wa watanzania umemshuhudia waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ‘akifoka’ kuwa…
Umoja wa Mataifa umeonya kwamba, kupunguzwa kwa kiwango cha misaada inayoingia Gaza, kutachangia idadi kubwa ya vifo miongoni mwa watoto…
Mpango wa serikali ya DRC chini ya rais wa DRC Felix Tshisekedi, kuingia kwenye mkataba na nchi ya Marekani kuhusu…
Majadiliano ya kitaifa nchini DRC yalizinduliwa Jumatatu ya wiki hii jijini Kinshasa, yakilenga kupata mwafaka kuelekea kuundwa kwa serikali ya…
Katika kile kinaonekana ni jaribio jingine la kutupilia mbali madai ya Merekani, rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amesema tuhuma…
Mlinzi wa pembeni wa Liverpool na England Trent Alexander-Arnold, 26, amekubaliana na Real Madrid kwa mkataba wa miaka mitano.
” Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wazingizie waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia kwamba…
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina wengine 17 katika mashambulizi ya alfajiri ya leo katika Ukanda…
Dar es Salaam. Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars inakabiliwa na mechi ngumu ya ugenini dhidi ya…
Kamati ya Mawaziri ya Nchi za Kiarabu na Kiislamu imeelezea wasi wasi wake kuhusu mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni…
Leo ni Jumanne tarehe 24 Ramadhani 1446 Hijria, sawa na tarehe 25 Machi, 2025.
Hanang’. Watu 4,995 wa Kata ya Hidet, wilayani Hanang’ mkoani Manyara, watanufaika na mradi wa maji kutoka Ziwa Bassotughang baada…
Shinyanga. Ofisa maendeleo ya jamii kutoka Manispaa ya Shinyanga, Nyanjula Kiyenze amesema jumla ya vikundi 19 vimepewa mafunzo ya matumizi…
Dodoma. Serikali imetoa wito kwa wazazi na walezi kutimiza jukumu lao la msingi katika malezi na makuzi ya watoto wao.…
Dodoma. Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) imekabidhi ripoti ya utafiti ya Sheria ya Takwimu, lengo likiwa ni kuiwezesha Ofisi…
Moshi. Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mchungaji Daniel Mono amesimulia namna…
Tanga. Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya uchaguzi ya Kilindi, Muheza,…
Dar es Salaam. Wananchi wa Ukonga wameonyesha mitazamo tofauti ya kugawanywa kwa jimbo la Ukonga ili kuwa na majimbo mawili,…
Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na…
Dar es Salaam. Tanzania na Kenya huenda zikawa na tofauti katika maeneo kadhaa, ikiwa ni pamoja na siasa, biashara, michezo,…
Mechi ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Singida Black Stars baina ya timu hiyo na Yanga, imeishia katika dakika ya…
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumsamehe kada wake wa zamani, Dk Wilbrod…
Dar es Salaam. Mechi ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Singida Black Stars baina ya timu hiyo na Yanga, imeishia…