Familia zinapokuwa chanzo watoto kufanyiwa ukatili, kupotoka kimaadili
Mitindo isiyofaa ya maisha ya wazazi na walezi pamoja na kutofuatilia mienendo ya watoto wao, imetajwa kuwa chanzo cha ukatili…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mitindo isiyofaa ya maisha ya wazazi na walezi pamoja na kutofuatilia mienendo ya watoto wao, imetajwa kuwa chanzo cha ukatili…
Mama Hadija ana wanawe watatu wanaofuatana. Wa kwanza, Hadija, ana miaka nane kaingia darasa la tatu. Luqman, miaka sita ndio…
Sikukuu ndio hizo zimefika; Eid na Pasaka. Ni nyakati za furaha, kusherehekea na kuonyesha upendo kwa familia. Watoto watavaa nguo…
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amezungumzia mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyofanywa na majeshi ya Wanamaji ya nchi…
Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku…
Katika uamuzi wa kutatanisha, kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Guinea, Jenerali Mamadi Doumbouya, ametoa msamaha wa rais kwa mtawala…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na…
Leo ni Jumapili tarehe 29 Ramadhani 1446 Hijria sawa na 30 Machi 2025.
Dodoma. Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Haji Khamis kuwa mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi ya James Mbatia…
Dar es Salaam. Siku chache kabla ya waumini wa dini ya Kiislamu kusherehekea sikukuu ya Eid, mitaa ya Kariakoo imefurika…
Moshi. Kufuatia hitilafu ya bomba la maji katika Barabara Kuu ya Moshi – Arusha, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi…
Shinyanga. Vyama vya ushirika mkoani Shinyanga vimetakiwa kujikita katika mifumo ya uwekezaji wa kidigitali na kujiendesha kibiashara badala ya kubaki…
Morogoro. Uchunguzi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro umebaini kwamba chanzo cha moto ulioteketeza vibanda vya wafanyabiashara…
Iringa. Kinachoendelea kwa sasa baina ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla na…
Dar es Salaam. Kukosekana kwa fedha za kutosha kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja kuliifanya Wakala wa Barabara…
Dodoma. Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ (hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi), Ofisi ya Msajili…
Lindi. Vuguvugu la mageuzi ya mifumo ya uchaguzi ikiwemo sheria na kanuni za uendeshaji limezidi kupamba moto. Tayari, Chama Cha…
Shinyanga. Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti, Jackson Mnyawami amelaani vitendo vya utekaji wa viongozi…
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025 ambazo…
Dar es Salaam. Siku chache kabla ya waumini wa dini ya Kiislamu kusherehekea sikukuu ya Eid, mitaa ya Kariakoo imefurika…
Mwanza. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza likieleza kutokuwa na taarifa zozote kuhusu alipo mjumbe wa mkutano mkuu wa…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema matatizo mengi yanayowakabili Watanzania yana uhusiano…
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay amesema amejiandaa kushinda mbio za Yangzhou Half Marathoni zitakazofanyika kesho Jumapili Machi 30,…
Saudi Arabia imetangaza Jumapili, Machi 30 kuwa Eid Al Fitr 2025.
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia askari wa usalama barabarani wilaya ya Igunga baada ya kuonekana kwenye picha…
Unguja. Tanzania ikiwa nchi inayohusika na mkataba wa Afrika wa haki za binadamu na wanawake, imesema kutoa taarifa ya utekelezaji…
Unguja. Katika kukuza na kuwaendeleza wabunifu wa kidijitali na wajasirimali, vinajengwa vituo 10 vya bunifu nchini vitakavyogharimu Sh15 bilioni. Kati…
Nchini Sudan Kusini kukamatwa kwa Makamu wa kwanza wa rais Riek Machar siku ya Jumatano, kumeendelea kuzua hali ya wasiwasi…
KAMA alivyosema Kocha wa Simba, Fadlu Davids kwamba watahakikisha wanaimaliza mechi dhidi ya Al Masry hukohuko Misri, ndicho walichoamua kukifanya…
Dodoma. Tanzania imetaja fursa itakazonufaika nazo kwa kuwa mwenyeji wa kongamano la 18 la kimataifa la e-learning Afrika ikiwemo mbinu…
Dar es Salaam. Ushindi wa nyumbani wa mabao 2-0 dhidi ya Songea United leo umeipeleka Yanga katika hatua ya robo…
YANGA imemalizana na Songea United katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA) uliochezwa jana Jumamosi…
Dodoma/mikoani. Upungufu wa mvua katika mikoa ya Kati ya Dodoma na Singida umesababisha kilio kwa wafugaji baada ya kulazimika kuuza…
Watu zaidi ya 1,600 wamepoteza maisha, kufikia siku ya Jumamosi nchini Myanmar kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katika maeneo…
Dar es Salaam. Madereva taksi wamekuwa na mitazamo tofauti kufuatia kauli ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra)…
BAADA ya kumaliza kambi ya siku 10 katika Kituo cha Magereza Kiwila mkoani Mbeya, Tanzania Prisons imetua jijini Dar es…
LIGI inatarajia kurejea keshokutwa ambapo kocha wa JKT Tanzania, Ahmed Ally ametaja mbinu tatu zitakazombeba kwenye mechi saba zilizobaki huku…
WAKATI Namungo inapambana kujiengua kwenye hatari ya kushuka daraja, Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema anafahamu mtihani alionao, lakini akiwatoa hofu…
WAKATI African Sports (Wana Kimanumanu) ya jijini Tanga ikipambana kubaki katika Ligi ya Championship, ukata unazidi kuiandama timu hiyo kiasi…
Waislamu na watetezi wa haki duniani katika nchi za Indonesia na Malaysia wameshiriki kwa maelfu katika maandamano ya kuadhimisha Siku…
Dar es Salaam. Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mkoa wa Kilimanjaro umetangaza kufungwa sehemu ya Barabara Kuu ya Himo Njia…
Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka amewapa changamoto wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo Serikali ina hisa…
Sumbawanga. Hivi ni kweli ukipata Rupia unatajirika au ni utapeli? Ni swali linaloibuka baada ya mganga wa jadi mjini Sumbawanga,…
Arusha. Mahakama ya Rufani imethibitisha adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela, aliyohukumiwa aliyekuwa mfanyakazi wa shambani (shamba boy), Salum…
Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa kila kitu katika Ukanda wa Gaza kinakaribia…
Vyombo vya habari vimearifu kuwa, Marekani imefanya mashambulizi 72 ya anga katika maeneo mbalimbali ya Yemen katika muda wa saa…
Makumi ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wameuawa na wengine kujeruhiwa wakati askari usalama walipofyatua risasi kwenye maandamano ya Siku ya…
Tanga. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah, amewataka wanasiasa wa ndani na nje ya mkoa…
Dar es Salaam. Kwa wahenga. Vuta kumbukumbu ya mwanadada mweusi. Weusi ule wenye kung’aa kama mchaichai. Ngozi yake nyororo, mwili…
TIMU ya Taifa ya Riadha ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), imetwaa ubingwa wa kilomita 10 upande…