Donald Trump anasema ‘hafanyi mzaha’ anapozungumzia kuhusu kugombea muhula wa tatu
Rais wa Marekani Donald Trump amehakikisha katika mahojiano yaliyofanywa hadharani Jumapili, Machi 30, kwamba “hafanyi mzaha” aliporejelea kwamba anafikiria kugombea…