DRC: Wahusika watatu wa jaribio la mapinduzi waondolewa hukumu ya kifo
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Thisekedi, ameondoa adhabu ya kifo kwa raia watatu wa Marekani, waliokuwa wamehukumiwa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Thisekedi, ameondoa adhabu ya kifo kwa raia watatu wa Marekani, waliokuwa wamehukumiwa…
Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali…
Arsenal wameongeza juhudi za kumsajili Nico Williams, huku Pep Guardiola akiwa miongoni mwa majina yanayopendekezwa kuinoa AC Milan, na Dean…
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo…
Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya…
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada…
Kwa akali raia 12 wa Sudan wameuawa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan…
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya…
Viongozi wa makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi wametoa ujumbe kwa nyakati tofauti wakisisitiza kwamba wataendelea kukabiliana na…
Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 03 mwaka 2025.
Tanzania imeanza vyema mbio za kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya miaka 19 baada…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
BEKI mahiri wa Simba, Shomary Kapombe ameweka wazi kwamba ndoto yake kubwa kwa sasa ni kutwaa ubingwa wa michuano ya…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30,…
Dar es Salaam. Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia…
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa…
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0…
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0…
Tunduru. Diwani wa Mchoteka (ACT-Wazalendo), Seif Dauda na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma, Said Mponda na baadhi…
Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Aprili 2, 2025 kuibuka na ushindi…
Unguja. Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini. Utafiti huo…
Dodoma. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa…
Kahama. Watu wawili akiwemo dereva wa bajaji Rajabu Hussein (mwenye umri kati ya miaka 27 na 30), pamoja na mtu…
RAUNDI ya 24 ya Ligi Kuu Bara inaendelea Alhamisi hii kwa michezo mitatu kupigwa huku miwili ikiwa ya mapema kuanzia…
KMC imeondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons ikiitandika mabao 3-2 kwenye Uwanja…
ACHANA na ushindi wa mabao 3-0 walioupata Singida Black Stars, ishu ni mshambuliaji wa timu hiyo, Jonathan Sowah ambaye ametupia…
KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa…
Dar es Salaam. Ili kulinda afya ya kinywa na meno wataalamu wa afya wanasema mtu hatakiwi kusukutua na maji baada…
Kenya. Katika tukio la kushangaza Kevin Ouma ameuawa kwa kile kilichotajwa kugombea mke wa mtu. Ouma mwenye umri wa miaka…
MABINGWA watetezi wa wa Kombe la Muungano, Simba wanatarajia kushiriki mashindano hayo yanayotarajia kuanza Aprili 21 hadi 27, mwaka huu,…
Safari ya Pamba Jiji kutoka nafasi za chini na kusogea juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara bado haijawa rahisi,…
KATIKA harakati za kuhakikisha nidhamu inaimarika ndani ya kikosi, uongozi wa Singida Black Stars umeweka utaratibu wa adhabu mbalimbali kwa…
Dar es Salaam. Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025…
Dar es Salaam. Mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Afrika,…
Mbeya. Wakati mwili wa aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Mkoa wa Mbeya, Lucia Sule…
BAADA ya awali kuelezwa huenda kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa atakosa mechi zote za Ligi Kuu Bara zilizobaki, taarifa…
Morogoro. Katika msako maalumu ulioendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani wa Morogoro katika kukabiliana na wimbi la matapeli wa mitandaoni,…
Dodoma. Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 utaanza Aprili 8, 2025, jijini Dodoma. Ni mkutano wa mwisho katika uhai…
Dar es Salaam. Ni wazi kuwa kwenye mitandao ya kijamii kinachozungumzwa zaidi kwa sasa ni habari ya mwanamuziki Zuchu na…
Arusha. Sakata la mkazi wa Daraja Mbili, jijini Arusha Neema Kilugala aliyedai kubadilishiwa mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…
Madrid kumuuza Vinicius Junior kwa €300mil, Chelsea yapata mbadala wa Jackson na Mipango ya Usajili Arsenal yawekwa wazi
Dar es Salaam. Msanii wa muziki nchini, Mr.Blue ambaye mwaka huu anatimiza miaka 22 kwenye kiwanda cha burudani, ametangaza kuachia…
Geita. Methali ya kusema “ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga” inaonekana kutimia baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita,…
Shinyanga. Mkazi wa kata ya Ndembezi iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Athuman Idd (35) amekutwa amejinyonga katika kata ya…
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameshauri njia mbalimbali za kumsaidia mgonjwa wa usonji, ikiwa ni pamoja na kumpeleka kufanyiwa…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa…
Kinshasa. Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imebatilisha hukumu ya kifo waliyopewa raia watatu wa Marekani kwa makosa…
Nairobi. Mtifuano wa Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, ni kama umeanza upya baada ya kiongozi huyo…
Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni kuwa ghali zaidi – zitasaidia wazalishaji wa Marekani na…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni…