Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel
Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo…
Mizozo ya kijeshi duniani
Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo…
Algeria imeomba kufanyika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili hali ya Palestina. Mkutano huo…
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi…
Raia wasiopungua 89 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye vijiji…
Makumi ya Wapalestina wengine wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza usiku kucha.
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina…
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amewasili Hungary siku ya Alhamisi, na kukaidi waranti wa kukamatwa uliotolewa na Mahakama ya…
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumshikilia Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe kwa tuhuma za kuwachafua viongozi wa serikali. Kamanda…
Beki mahiri wa Simba, Shomary Kapombe ameweka wazi kwamba ndoto yake kubwa kwa sasa ni kutwaa ubingwa wa michuano ya…
Mawaziri wa mambo ya nje wa Mali, Niger, na Burkina Faso walianza ziara nchini Moscow siku ya Jumatano kwa mwaliko…
Ili kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0 ugenini…
Qatar “si adui” wa Israeli, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alitangaza Jumatano, Aprili 2, akiwatetea washauri wake wawili wa…
China siku ya Alhamisi imeitaka Marekani kufuta mara moja ushuru wake wa hivi karibuni na kuahidi hatua za kukabiliana nazo…
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema siku ya Alhamisi kwamba ushuru mpya uliotangazwa na Rais wa…
Kutekwa tena kwa mji mkuu huo kunaashiria mabadiliko katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili, vilivyochochewa na…
Zaidi ya watu 3,000 wamekufa nchini Myanmar katika tetemeko kubwa la ardhi la ukubwa wa cha 7.7 kwenye kipimo cha…
Somalia inakabiliwa na njaa, huku hali ikizidi kuwa mbaya wakati ukame, migogoro na bei ya juu ya chakula ikiwa hatarini…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza Jumatano, Aprili 2, kwamba atatia saini agizo la utendaji linaloweka “ushuru wa kulipiza” kwa…
Utawala wa kijeshi nchini Guinea, umetangaza kufanyika kwa kura ya maoni tarehe 21 mwezi Septemba, itakayorejesha taifa hilo kwenye utawala…
Hatifungani ni mojawapo ya njia salama za uwekezaji zinazoweza kumhakikishia mwekezaji mapato ya uhakika. Licha ya kuwa njia ya kuhifadhi…
Katika biashara kunakuwa na mtaji wa muda mrefu ambao unashikilia msingi wa biashara yako ya mahitaji ya kifedha ya muda…
Kutokana na uwepo wa bandari katika kanda ya Dar es Salaam, Kanda ya Kaskazini, na Kanda ya kusini Mashariki, kunaweza…
Huenda ikawa ni jambo la kushangaza kwa wengi, lakini ukweli usiopingika ni kwamba Tanzania inaongoza katika uwekezaji nchini Kenya, licha…
Siku zote kadiri Sikukuu ya Eid inavyokaribia, ndivyo hamasa za manunuzi ya nguo mpya inavyoongezeka. Kwa wanawake, hakikisho kubwa ni…
Donald Trump ameanzisha vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu baada ya zaidi ya miezi miwili ya maandalizi ya tukio kuu…
Sherehe za ubingwa wa Ligi Kuu kwa Liverpool inaonekana kutoepukika. Ni suala la lini wanaweza kuthibitishwa kuwa mabingwa na sio…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Thisekedi, ameondoa adhabu ya kifo kwa raia watatu wa Marekani, waliokuwa wamehukumiwa…
Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali…
Arsenal wameongeza juhudi za kumsajili Nico Williams, huku Pep Guardiola akiwa miongoni mwa majina yanayopendekezwa kuinoa AC Milan, na Dean…
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo…
Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya…
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada…
Kwa akali raia 12 wa Sudan wameuawa katika mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan…
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya…
Viongozi wa makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi wametoa ujumbe kwa nyakati tofauti wakisisitiza kwamba wataendelea kukabiliana na…
Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 03 mwaka 2025.
Tanzania imeanza vyema mbio za kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya miaka 19 baada…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
BEKI mahiri wa Simba, Shomary Kapombe ameweka wazi kwamba ndoto yake kubwa kwa sasa ni kutwaa ubingwa wa michuano ya…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30,…
Dar es Salaam. Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia…
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa…
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0…
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0…
Tunduru. Diwani wa Mchoteka (ACT-Wazalendo), Seif Dauda na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma, Said Mponda na baadhi…
Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Aprili 2, 2025 kuibuka na ushindi…
Unguja. Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini. Utafiti huo…
Dodoma. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa…
Kahama. Watu wawili akiwemo dereva wa bajaji Rajabu Hussein (mwenye umri kati ya miaka 27 na 30), pamoja na mtu…
RAUNDI ya 24 ya Ligi Kuu Bara inaendelea Alhamisi hii kwa michezo mitatu kupigwa huku miwili ikiwa ya mapema kuanzia…