Dakika 630 zaitenga Coastal na ushindi
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi ana kazi kubwa ya kufanya katika mchezo wa kesho, Jumatatu dhidi ya Yanga kuhakikisha…
Mizozo ya kijeshi duniani
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi ana kazi kubwa ya kufanya katika mchezo wa kesho, Jumatatu dhidi ya Yanga kuhakikisha…
Wahudumu wa afya wametumwa katika wilaya mbili za Kyiv kufuatia milipuko na “mashambulio ya makombora” amba yo bado yanaendelea, meya…
Korea Kaskazini inaandaa mashindano yake ya kwanza ya riadha za Kimataifa katika muda wa miaka sita huko Pyongyang leo Jumapili,…
Katika safari ya maisha, watoto hukumbana na changamoto mbalimbali zinazoweza kuwafanya wapitie hisia kali kama hasira, huzuni, hofu, au msongo…
KIUNGO wa Singida Black Stars, Mohamed Damaro,22, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao,…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa…
Hatua ya Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutangaza kuanza mchakato wa ujenzi wa Reli ya SGR Mijini (Commuter…
Siku chache zilizopita mtandaoni kulipamba moto, habari kubwa ilikuwa wanawake wawili kutupiana vijembe kwa kile kinachoelezwa sababu ikiwa mwanamume ambaye…
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa , Jean Noel Barrot anatarajiwa nchini Algeria hii leo katika hatua inayolenga kuimarisha…
Kawia ufike. Ni neno unaloweza kueleza baada ya uongozi wa Tanzania Prisons kuwaita wadau kujadili namna ya kuinusuru timu hiyo…
Bwana Yesu asifiwe, kwa neema ya Mungu tena nimepata kibali kukuletea somo lihusulo sadaka. Wakristo wengi hatujui kutoa sadaka, hata…
Kuna busara wakati wa kuwafunda wanawali katika jamii moja nchini Uganda isemayo kuwa wanapoolewa lazima wajifunze kufunga miguu na kufungua…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejifunza fomyula za…
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…
Acha niwape ‘story’ ya yanayomsibu mwanamke. Ninapogombana na mwanaume, anaponipiga makofi, kunikata na visu, kunipiga na mabapa ya panga hata…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada…
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limemuongezea Francesca Albanese muda wa kuhudumu kama Ripota Maalumu wa hali…
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, amekariri madai ya kisiasa anayotoa kuhusu mpango wa amani…
LONDON, ENGLAND: MechiI tano zilizopita. Manchester United imeshinda mbili, Manchester City imeshinda tatu. Jumapili, kinapigwa tena. Kasheshe lipo huko Old…
“Inawezekana hakuwa wa kwangu. Yumkini Mungu hakupanga tuwe pamoja. Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia sentensi zinazofanana…
Jeshi la Israel limekiri kuwa wanajeshi wake walifanya makosa katika mauaji ya wafanyikazi 15 wa dharura kusini mwa Gaza mnamo…
Anti habari. Naomba usiniwashie moto nisaidie nifanyeje kutoa au kuishi na siri hii maana naona imeanza kunishinda. Nina rafiki yangu…
Juzi nimepokea taarifa za kusikitisha. Baraka mtoto wa jirani yetu enzi hizo amekuwa kilema. Jicho lake moja limeng’olewa, hana mkono…
Dar es Salaam. Ni mgongano wa masilahi, ndivyo inavyodhihiri katika huduma ya matibabu kati ya kundi la wazee wastaafu na…
Kutegemea wazazi kiuchumi wakati mtu ameshakuwa mtu mzima kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa maisha ya mtu binafsi, familia, na…
Manchester City wamemtambua kiungo mkabaji wa Bayer Leverkusen na Ujerumani Florian Wirtz, 21, kama mchezaji mbadala bora wa kiungo wa…
Tatizo la Sturridge la kucheza kamari lilianza alipokuwa mdogo lakini lilizidi kuwa baya alipokuwa maarufu na bahati ya kuwa mwanasoka…
Elon Musk ndiye mtu tajiri zaidi duniani, mjasiriamali wa teknolojia aliyeweza kuwa na uhusiano na na kuingia kwa njia ya…
Uhusiano wa kimapenzi, ni sehemu muhimu ya maisha ya kila mtu. Mara nyingi, watu wanatarajia kuwa na wenza wanaoendana nao…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa lugha ya vitisho dhidi ya Tehran, akisisitiza kuwa nchi hii iko tayari kufanya mazungumzo…
Shirika la Haki za Binadamu la Euro-Med, lenye makao yake mjini Geneva, limelaani vikali ukatili wa Israel katika Ukanda wa…
Msikiti wa kihistoria wa Kongo, ulioko Diani, Kaunti ya Kwale, umekuwa katika mzozo baada ya mwekezaji binafsi kudai umiliki wa…
Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang’ula, amesema kwamba suluhisho la kudumu kwa mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence-AI-)barani Afrika, Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf,…
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa uamuzi kwamba kampuni ya Marekani ya Meta, inayomiliki Facebook, inaweza kushtakiwa nchini humo kwa tuhuma…
Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu…
Leo ni Jumapili tarehe 7 Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Aprili 2025.
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akimteua IGP mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti…
Lushoto. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Msafiri Joseph Mbilu, amewataka waumini…
Dar es Salaam. Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha) kupitia chombo maalumu (caucus) kilichoundwa kutatua migogoro limeanza mchakato wa maridhiano…
Nyasa. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekula ‘kiapo’ mbele ya wananchi wa Ruvuma kwamba atakuwa…
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, ameonekana kuridhishwa na safu yake ya ulinzi huku akizigawa dakika 270 zilizoleta matumaini makubwa.…
SIMBA ina deni la kurudisha mabao mawili kisha kusaka la ushindi itakapocheza dhidi ya Al Masry ili kufuzu nusu fainali…
Mbulu. Wilaya ya Mbulu imetumia Sh204 bilioni kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya elimu, afya na maji, katika kipindi…
Moshi. Kaya zaidi ya 300 katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, zimezingirwa na maji, huku 62 zikiachwa bila makazi kutokana…
Dar es Saalam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa Shilingi ya Tanzania inatarajia kuimarika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu…
Rufiji. Ndoto iliyoanzishwa kwa matumaini makubwa imefikia tamati leo, baada ya mitambo yote tisa ya kufua umeme katika mradi wa…
Dar es Salaam. Mwezi Machi umepita, lakini ni mwezi wenye kumbukumbu nyingi chungu kwa ndugu, marafiki na wapenzi wa muziki…
Tetemeko hilo kubwa la ardhi lililoikumba Myanmar Machi 28 limesababisha vifo vya watu 3,354, kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa…