Umoja wa Afrika wamemteua Rais wa Togo kupatanisha mgogoro wa DRC
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Joao Lourenco, amemteua Rais wa Togo, Faure Gnassingbe, kuwa mpatanishi kati ya Jamhuri ya…
Mizozo ya kijeshi duniani
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Joao Lourenco, amemteua Rais wa Togo, Faure Gnassingbe, kuwa mpatanishi kati ya Jamhuri ya…
Jumamosi, maelfu Wamarekani walishiriki katika maandamano katika majimbo yote 50 ya Marekani, wakimpinga Rais Donald Trump na bilionea Elon Musk.
Dar es Salaam. Kama ilivyo kwenye mpira wa miguu ni sifa kwa mchezaji kucheza miguu yote kulia na kushoto. Hata…
Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua zaidi ya magaidi 80 wa al-Shabaab, wakiwemo vinara waandamizi wa kundi hilo, katika operesheni…
Nywele za bandia au mawigi yamekuwa yakitawala katika mashindano maarufu ya urembo nchini Ivory Coast kwa miaka mingi.
TAARIFA kutoka ilipo kambi ya Coastal Union, zinasema mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumatatu hii dhidi ya Yanga,…
Dar es Salaam. Hivi karibuni baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva walionekana wakifanya Shows za Chaka to Chaka(Vijijini) ambazo licha…
Simba Queens iko kwenye mpango wa kuachana na Kocha Mkuu, Yussif Basigi mwishoni mwa msimu huu kutokana na kile alichokionyesha…
NYOTA wa Yanga Princess wamepewa likizo ya siku 15 kutembelea familia zao kabla ya kujiunga na kambi Aprili 15 kuendelea…
WAKATI Ligi ya Wanawake ikiishia raundi ya 15 kutokana na mapumziko ya kalenda ya FIFA kwenye fainali za AFCON (Women’s…
ACHANA na msimamo ulivyo wa Ligi ya Wanawake, JKT Queens ikiwa kileleni na pointi 38, timu hiyo inaongoza kwa kutoa…
KOCHA Mkuu wa Fountain Gate Princess, Camil Mirambo amesema malengo ya timu hiyo msimu huu ni kumaliza katika nafasi ya…
Dar es Salaam. Timu ya Taifa ya Kriketi chini ya miaka 19 imefuzu kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia baada…
Dar es Salaam. Mechi nne za Ligi Kuu ya NBC zitachezwa leo katika viwanja na miji tofauti nchini lakini gumzo…
Dodoma. Katika zama za sasa za maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano, matumizi ya mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya…
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Tanga, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Waziri Amiri baada ya kumkuta na hatia…
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyoshiriki fainali za mataifa ya Africa (Afcon) za Ivory Coast ilikuwa na wachezaji…
WAKATI Ligi ya Championship ikibakisha raundi tano kwa kila timu, ushindani umekuwa mkubwa kuanzia kwa zinazowania kupanda Ligi Kuu Bara,…
Jina la rais wa Togo limependekezwa kuchukua mwenge wa upatanishi kati ya Kinshasa na Kigali wakati wa mkutano wa video…
Kutoka California kupitia New York hadi Texas, maandamano yamefanyika katika miji mingi ya Marekani kumpinga Donald Trump siku ya Jumamosi,…
Je, mionzi katika simu zetu ina madhara kiasi gani? Je, matumizi ya simu mara kwa mara husababisha saratani? Na unaweza…
Arsenal imejikuta katika wakati mgumu jana baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi…
Dhoruba kali zinazokumba eneo la kati-mashariki mwa Marekani zimeua takriban watu 16, maafisa wamesema, huku mamlaka ya Hali ya Hewa…
MAMBO bado hayajaeleweka kwa Kocha mpya wa Tabora United, Genesis Mang’ombe raia wa Zimbabwe baada ya kushindwa kupata ushindi tangu…
BAADA ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tabora United na kupaa hadi nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wameanza mazungumzo ya amani nchini Qatar baada ya siku…
HALI ni mbaya kwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mkenya Roberto Matano baada ya juzi kupoteza kwa mabao 3-0, dhidi…
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi ana kazi kubwa ya kufanya katika mchezo wa kesho, Jumatatu dhidi ya Yanga kuhakikisha…
Wahudumu wa afya wametumwa katika wilaya mbili za Kyiv kufuatia milipuko na “mashambulio ya makombora” amba yo bado yanaendelea, meya…
Korea Kaskazini inaandaa mashindano yake ya kwanza ya riadha za Kimataifa katika muda wa miaka sita huko Pyongyang leo Jumapili,…
Katika safari ya maisha, watoto hukumbana na changamoto mbalimbali zinazoweza kuwafanya wapitie hisia kali kama hasira, huzuni, hofu, au msongo…
KIUNGO wa Singida Black Stars, Mohamed Damaro,22, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao,…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa…
Hatua ya Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutangaza kuanza mchakato wa ujenzi wa Reli ya SGR Mijini (Commuter…
Siku chache zilizopita mtandaoni kulipamba moto, habari kubwa ilikuwa wanawake wawili kutupiana vijembe kwa kile kinachoelezwa sababu ikiwa mwanamume ambaye…
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa , Jean Noel Barrot anatarajiwa nchini Algeria hii leo katika hatua inayolenga kuimarisha…
Kawia ufike. Ni neno unaloweza kueleza baada ya uongozi wa Tanzania Prisons kuwaita wadau kujadili namna ya kuinusuru timu hiyo…
Bwana Yesu asifiwe, kwa neema ya Mungu tena nimepata kibali kukuletea somo lihusulo sadaka. Wakristo wengi hatujui kutoa sadaka, hata…
Kuna busara wakati wa kuwafunda wanawali katika jamii moja nchini Uganda isemayo kuwa wanapoolewa lazima wajifunze kufunga miguu na kufungua…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejifunza fomyula za…
Vidio iliyopatikana kwenye simu ya mfanyakazi wa Kipalestina wa huduma za tiba aliyeuawa shahidi pamoja na wenzake 14 huko Ghaza…
Acha niwape ‘story’ ya yanayomsibu mwanamke. Ninapogombana na mwanaume, anaponipiga makofi, kunikata na visu, kunipiga na mabapa ya panga hata…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF limesema, watoto wa Ukanda Ghaza wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa misaada…
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limemuongezea Francesca Albanese muda wa kuhudumu kama Ripota Maalumu wa hali…
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, amekariri madai ya kisiasa anayotoa kuhusu mpango wa amani…
LONDON, ENGLAND: MechiI tano zilizopita. Manchester United imeshinda mbili, Manchester City imeshinda tatu. Jumapili, kinapigwa tena. Kasheshe lipo huko Old…
“Inawezekana hakuwa wa kwangu. Yumkini Mungu hakupanga tuwe pamoja. Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia sentensi zinazofanana…
Jeshi la Israel limekiri kuwa wanajeshi wake walifanya makosa katika mauaji ya wafanyikazi 15 wa dharura kusini mwa Gaza mnamo…
Anti habari. Naomba usiniwashie moto nisaidie nifanyeje kutoa au kuishi na siri hii maana naona imeanza kunishinda. Nina rafiki yangu…
Juzi nimepokea taarifa za kusikitisha. Baraka mtoto wa jirani yetu enzi hizo amekuwa kilema. Jicho lake moja limeng’olewa, hana mkono…