Simba wamaliza utata wa Ateba, Mukwala wakongwe waingilia
Dar es Salaam. Simba ina kibarua kigumu dhidi ya Al Masry ya Misri kesho Jumatano, Aprili 09, katika Uwanja wa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Dar es Salaam. Simba ina kibarua kigumu dhidi ya Al Masry ya Misri kesho Jumatano, Aprili 09, katika Uwanja wa…
MVUA za masika zinazoendelea kunyesha mjini Arusha zimeathiri kuanza kwa mashindano ya Ligi ya Kikapu mkoani humo msimu ujao. Awali,…
LICHA ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kuendeshwa bila kuwa na udhamini, lakini imeonyesha kuwa ndio…
WAKATI timu zikiwa katika maandalizi kwa ajili Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) msimu ujao, Dar City…
Angola. Ikiwa leo ni siku ya pili ya ziara ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan nchini Angola yenye lengo…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya “mazungumzo yasiyo ya moja…
Rais Paul Kagame wa Rwanda amezikosoa vikali nchi ambazo hivi karibuni zilitangaza kuiwekea Kigali vikwazo kutokana na mgogoro wa mashariki…
Hisa za Marekani zimeendelea kuporomoka kwa siku ya tatu mfululizo, huku mashirika na wawekezaji wakishindwa kuelewa malengo ya mipango mipya…
Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika mitaa ya Tel Aviv kushiriki katika maandamano mapya ya kupinga serikali ya utawala huo haramu,…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop amesema Ukraine inavuruga utulivu barani Afrika kwa kuunga mkono makundi ya…
Mahakama ya Juu ya Marekani siku ya Jumatatu imetoa idhini kwa utawala wa Trump kuwafukuza wahamiaji kwa kuzingatia sheria ya…
China imeliapa Jumanne kupambana na ushuru wa forodha wa Marekani “hadi mwisho” licha ya tishio la Donald Trump la kutozwa…
Wakati Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akifanya ziara nyingine katika Ikulu ya White House siku ya Jumatatu, Aprili 7,…
Kuporomoka kwa thamani katika soko la hisa, kunamaanisha kuwa kuna tathmini ya msingi ya faida za siku zijazo kwa kampuni…
Maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 31 ya mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa dhidi ya Watutsi na Wahutu wenye msimamo wa wastani…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi na Mfalme Abdullah II wa Jordan wamekutana mjini Cairo…
Dodoma. Ni nadra nyumba yenye televisheni hasa katika maeneo ya mijini, kukuta watoto wadogo wakiangalia vipindi vingine tofauti na katuni.…
Dodoma. Ni nadra nyumba yenye televisheni hasa katika maeneo ya mijini, kukuta watoto wadogo wakiangalia vipindi vingine tofauti na katuni.…
Tuanze na uzoefu wangu utotoni. Naamini uzoefu huu utakuwa ni wa kawaida kwa kila mtoto bila kujali kabila au taifa…
Wakaazi wa jiji la Kinshasa nchini DRC waliojawa na hasira, hapo jana walionesha gadhabu zao kwa Rais Felix Tshisekedi, ambaye…
Umewahi kujiuliza, kama wakoloni wangekuwa bado wanaendeleza unyonyaji Tanzania, tungepata vijana jasiri wa kuukataa ukoloni na kuwa tayari kufa kwa…
Mamlaka za Algeria hapo jana zilitangaza kufunga anga yake kwa nchi ya Mali pamoja na kumrudisha nyumbani balozi Wake mjini…
Katika kujaribu kupunguza athari za ushuru mpya wa forodha uliowekwa na Marekani kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka bara la Afrika, mamlaka…
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa hatua zilizopigwa katika kupunguza vifo vya akina mama wakati wa kujifungua huenda zikatatizika kutokana na…
Dar es Salaam. Kilele cha shindano la Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya uandishi bunifu kinatarajiwa kufanyika Aprili 13…
Dar es Salaam. Baraka Ludohela (32), ambaye amefungiwa leseni ya udereva kwa miezi mitatu, ni miongoni mwa madereva wa magari…
Dar es Salaam. Wakati utafiti ukibaini uwepo wa masalia ya dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) kwenye nyama na…
El-Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini, ambao umezingirwa kwa karibu mwaka mmoja na RSF, ambao pia unakabiliwa na mapigano makali…
“Iran haiwezi kuwa na silaha za kinyuklia, na kama mazungumzo haya hayatakuwa na mafanikio, nadhani itakuwa siku mbaya kwa Iran.”Trump…
Manchester United wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Wolves na Brazil Matheus Cunha.
“No Reforms, No Election” inalenga kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mpaka kufanyike marekebisho makubwa ya mifumo na sheria za…
Tangazo la kutoza ushuru mpya la Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya nchi 180 duniani, zikiwemo nchi za Umoja…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, viongozi wa Marekani wana wajibu…
Huko Mashariki mwa DRC, naibu waziri mkuu anayehusika na masuala ya ulinzi, amefanya ziara mjini Uvira katika jimbo la Kivu…
Huko Mashariki mwa DRC, naibu waziri mkuu anayehusika na masuala ya ulinzi, amefanya ziara mjini Uvira katika jimbo la Kivu…
Mbali na majanga ya ukosefu wa amani na vita baina ya makundi hasimu, majanga ya kimaumbile yanaikumba pia Jamhuri ya…
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini sasa unashika doria usiku na mchana katika eneo la wakimbizi ambalo liko…
Wananchi wenye hasira wa Mauritania wamefanya maandamano makubwa na kuuzingira ubalozi wa Marekani mjini Nouakchott wakilaani jinai za Israel katika…
Huku wananchi wa Marekani wakiendelea kukasirishwa na siasa za kidikteta na uingiliaji kati za Trump, Elon Musk na serikali yao,…
Leo ni Jumanne tarehe 9 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 8 mwaka 2025.
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, John Healey akiwa ziarani nchini Kenya, amekutana familia ya Agnes Wanjiru, ambaye alipatikana ameuawa mwaka…
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa kichama Ilala, kimewaagiza viongozi wake wa matawi kuwaandikia barua…
Afrika Kusini. Baada ya miezi 10 ya juhudi za ufuatiliaji, hatimaye mtoto wa Kitanzania, Juma, maarufu Joel, mwenye umri wa…
YANGA imeichapa Coastal Union bao 1-0 na kuweka gepu la pointi saba dhidi ya Simba inayofuatia kwa ukaribu kwenye msimamo…
MATAJIRI wa Simba wamewaachia wachezaji wao kuamua kuwapeleka Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kukutana na kufanya…
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye…
Dar es Salaam. Baada ya dereva Mtanzania, Juma Maganga (45) kufikishwa mahakamani nchini Sudan Kusini Aprili 3, 2025 kwa shitaka…
Kiungo Pacome Zouzoua amewafanya mashabiki wa Yanga kuondoka na nyuso za furaha katika Uwanja wa KMC Complex, leo Aprili 07,…
Lindi. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa wataalamu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), waliokwamisha…
Wanariadha wa kimataifa, Failuna Abdi Matanga na Angelina John, wamejitosa kuwa mabalozi wa mbio za Fistula Marathon zinazolenga kusaidia matibabu…