Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mazungumzo ya Oman ni ‘jaribio la kupima umakini wa Marekani’
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa mazungumzo ya Iran yatakayofanyika Oman siku ya Jumamosi ni…
Mizozo ya kijeshi duniani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema kuwa mazungumzo ya Iran yatakayofanyika Oman siku ya Jumamosi ni…
Vikosi vya Yemen vimeangusha tena ndege ya kivita isiyo na rubani au droni ya kisasa aina ya MQ-9 ya Jeshi…
Viwango vya vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga barani Afrika vimepungua tangu mwaka 2000, Shirika la Afya Duniani…
Watu wa Iran wamekusanyika kuonyesha msaada wao wa dhati kwa Wapalestina wanaoteseka kutokana na umwagaji damu wa kikatili na vitendo…
WAKATI umesalia muda mfupi kabla ya mchezo wa robo fainali ya pili kupigwa, hali ya hewa ya mvua iliyoanza kunyesha…
Dar es Salaam. Benchi la ufundi la Simba limeamua kumuanzisha mshambuliaji Steven Mukwala katika mchezo wake wa marudiano ya robo…
Michezo ya kubashiri inahusisha hisia, hofu na matamanio ya ushindi. Hii ndiyo husimumua mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Lakini hata…
PRIME Mastaa Simba wataka Mukwala aanze MASTAA wa zamani wa Simba, wanatamani Kocha wa timu hiyo, Fadlu Davis akamuanzia raia…
Unguja. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza kuongezeka kwa bei za mafuta ambazo zitaanza…
Dar es Salaam. Huenda ikawa habari njema kwa watumiaji wa mtandao wa WhatsApp katika kutunza siri na faragha zao kutokana…
Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita limetoa wito kwa wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayejitambulisha kama askari polisi bila…
Jarida la forbes limetoa orodha yake ya mabilionea. Kwa jumla mabilionea 3,028 waliorodheshwa katika orodha hiyo mwaka huu inayojumlisha utajiri…
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini, vyama vya siasa na mashirika yasiyo ya…
Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita limetoa wito kwa wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayejitambulisha kama askari polisi bila…
Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Kijiji cha Kinamweli, Iddy…
Arusha.”Ni mauaji ya kusikitisha.” Ndivyo unavyoweza kusema baada ndugu watatu ambao Ester Matei, Lidia Matei na Anjela Barnaba kuuawa kwa…
Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema mapendekezo ya kupunguza tozo na kodi za uingizaji wa samaki kutoka nje ya nchi yatafanywa…
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuhakikisha huduma zinazohusiana na masuala ya Ukimwi zinaendelea kupatikana na hakuna…
Uchambuzi wa kina wa uchunguzi kwa kidijitali wa Titanic umefichua mapya kuhusu saa za mwisho za meli iliyokuwa hatarini.
Mbeya. Chama cha Kutetea Haki na Masilahi ya Walimu Tanzania (Chakamwata) kinatarajia kuwaburuza mahakamani wakurugenzi wa halmashauri 125 nchini sambamba…
Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Bongo Fleva aliyejizolea umaarufu kupitia wimbo wake ‘Kubali’, Lody Music ameiambia Mwananchi Scoop kuwa anaamini…
Angola. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bara la Afrika linahitaji mshikamano wa pamoja ili liweze kuwa imara na…
Dodoma. Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka…
Al Ahly na Mamelodi Sundowns jana zimeweza kuzidhibiti Al Hilal na Esperance kupata ushindi dhidi yao katika mechi za marudiano…
Dar es Salaam. Licha ya ugomvi wao miaka ya hivi karibuni, hilo haliondoi ukweli kuwa Staa wa Konde Music Worlwide,…
Inter Milan imejiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuibuka…
Angola. Ikiwa leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya ziara ya kikazi ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini…
Arusha. Ikiwa zimepita siku sita tangu majibu ya vinasaba (DNA) kutolewa na kuonyesha kuwa mkazi wa Mtaa wa Ndarvoi, Neema…
Dar es Salaam. Miongoni mwa nyimbo maarufu za Oliver Mtukudzi duniani ni ule uitwao ‘Neria’ ambao aliuandika maalumu kwa ajili…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza katika andiko lililochapishwa na gazeti la Washington Post:…
Katika tamko kali zaidi ambalo amewahii kutoa hadi sasa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa indhari kuhusu…
Luteni Jenerali Tadesse Werede ametangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray kuchukua nafasi ya Getachew Reda.
Ubelgiji nayo pia imetangaza kuwa haitotii amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutaka waziri mkuu wa utawala…
Kamanda Mkuu wa Marekani katika Kamandi ya jeshi la nchi hiyo barani Ulaya amesema, mauzo ya silaha za Marekani kwa…
Mabao mawili aliyofunga Declan Rise na moja alilofunga Mikel Merino yalitosha kuipa ushindi wa mabao 3-0 Arsenal ambayo ilikuwa nyumbani…
Simba SC imewahi kufika robo fainali ya mashindano ya Afrika mara nane, lakini imefanikiwa kuvuka hatua ya robo fainali mara…
Mastaa wa zamani wa Simba, wanatamani Kocha wa timu hiyo, Fadlu Davis akamuanzia raia wa Steven Mukwala kwenye kikosi cha…
Leo nitajadili kitu kinachoitwa kwa Kiingereza ‘holistic approach’, kwa kutumia dhana dhanifu ya imani kuwa Mungu ndiye muumba wa mbingu…
Rais Trump amekiri kuwa mkakati wake wa nyongeza za ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kwa kiasi fulani umepitiliza
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Marco Rubio, hapo jana alirejelea tena msimamo wa serikali yao kuhusu kuiunga mkono…
Kuna hekaya zingine za utotoni tulizigundua ukubwani kuwa zilikuwa za kufikirika. Lakini zingine hadi leo zimetuachia maswali bila majibu. Kwa…
Watoto nchini Sudan Kusini wanakufa kutokana na ugonjwa wa Kipindupindu wakati huu pia wakitembea umbali mrefu kuvifikia vituo vya afya…
Dar es Salaam. Licha ya Diana Joseph Sabhai kudanganya jina lake halisi, mwanamke huyo hakuweza kukwepa mkono wa sheria, baada…
“Kazini kwa wabunge wa majimbo 10 mkoani Tanga kuna kazi”, ndiyo lugha nyepesi inayoweza kutumika kutafsiri mtifuano na kivumbi cha…
Mguu uliomwingiza Tundu Lissu kwenye hatamu Chadema, ndiyo uliomwondoa Freeman Mbowe. Mdomo uliopukutisha imani ya wana-Chadema kwa Mbowe, ndiyo uliomsafishia…
Canada. Haraka haraka niliwasiliana na Madaraka, mwana mwenyewe wa Nchonga aliyewahi kunikaribisha Mwisenge nikahiji kwenye kaburi la baba wa kaya…
Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila, ambaye tangu mwaka jana makazi yake yalikuwa ni nchini Afrika Kusini, hapo jana…
Idadi ya watu walionyongwa kote duniani iliongezeka hadi zaidi ya 1,500 mwaka wa 2024, hii ikiwa idadi ya juu zaidi…
Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja…
Leo ni tarehe 10 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 09, 2025.