Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto
SWAHILI NEWS

Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto

MUKSININovember 20, 2024

Parstoday- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto…

Wanafunzi 15 mbaroni wakidaiwa kufanya vurugu Sanya Day
WANANCHI NEWS

Wanafunzi 15 mbaroni wakidaiwa kufanya vurugu Sanya Day

MUKSININovember 20, 2024

Siha. Wanafunzi 15 wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Sanya Day, Wilaya ya Siha, Mkoani Kilimanjaro wanashikiliwa na…

Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia
SWAHILI NEWS

Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia

MUKSININovember 20, 2024

Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia…

Necta yampa matumaini mwanafunzi aliyenasa saa 24 ndani ya kifusi Kariakoo
WANANCHI NEWS

Necta yampa matumaini mwanafunzi aliyenasa saa 24 ndani ya kifusi Kariakoo

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Ombi la Jackson Clement, mwanafunzi wa kidato cha nne aliyenusurika kifo kwenye ajali ya ghorofa Kariakoo, limesikika…

Bodaboda, bajaji wanavyopiga hela kwa kutumwa kondomu
WANANCHI NEWS

Bodaboda, bajaji wanavyopiga hela kwa kutumwa kondomu

MUKSININovember 20, 2024

Dodoma. Aibu kwa watumiaji wa kondomu imewalazimu kuwalipa madereva wa bodaboda na bajaji kwenda kuwanunulia kinga hiyo dhidi ya magonjwa…

Wafanyabiashara jengo lililoporomoka Kariakoo wasubiri kauli ya Serikali
WANANCHI NEWS

Wafanyabiashara jengo lililoporomoka Kariakoo wasubiri kauli ya Serikali

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wenye maduka na vyumba vya kuhifadhi mizigo katika jengo lililoporomoka Kariakoo wameeleza wanangoja tamko la Serikali…

Diamond akubali yaishe kutochaguliwa Tuzo za Grammy
WANANCHI NEWS

Diamond akubali yaishe kutochaguliwa Tuzo za Grammy

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond kutochaguliwa kuwania tuzo za Grammy, msanii huyo amesema kuwa…

Besigye atoweka Nairobi, mkewe adai anashikiliwa Kampala
WANANCHI NEWS

Besigye atoweka Nairobi, mkewe adai anashikiliwa Kampala

MUKSININovember 20, 2024

Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Dk Kizza Besigye anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana jijini Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa tovuti…

Askofu Kassala: Serikali izitazame changamoto za watoto wenye ulemavu
WANANCHI NEWS

Askofu Kassala: Serikali izitazame changamoto za watoto wenye ulemavu

MUKSININovember 20, 2024

Geita. Askofu wa Jimbo Katoliki Geita, Dk Flavian Kassala ameitaka Serikali kuziangalia na kuzitatua changamoto zinazowakabili watoto wenye ulemavu zinazowafanya…

Derick anayetuhumiwa kujeruhi Club 1245 kusomewa maelezo leo
WANANCHI NEWS

Derick anayetuhumiwa kujeruhi Club 1245 kusomewa maelezo leo

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Derick Junior (36), ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) anayekabiliwa na mashtaka mawili ya kujeruhi katika…

Iran yaonya kuhusu azimio lolote dhidi ya Tehran katika kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA
SWAHILI NEWS

Iran yaonya kuhusu azimio lolote dhidi ya Tehran katika kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA

MUKSININovember 20, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa hatua yoyote dhidi ya Tehran katika kikao kijacho cha Bodi ya…

Araqchi: Wanaotoa silaha kwa Israel wanaishutumu Iran kutuma makombora huko Russia
SWAHILI NEWS

Araqchi: Wanaotoa silaha kwa Israel wanaishutumu Iran kutuma makombora huko Russia

MUKSININovember 20, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Umoja wa Ulaya na Uingereza zinatumia mienendo inayokinzana dhidi ya Iran ambayo…

UNICEF: Zaidi ya watoto 200 wameuawa Lebanon katika mashambulizi ya Israel
SWAHILI NEWS

UNICEF: Zaidi ya watoto 200 wameuawa Lebanon katika mashambulizi ya Israel

MUKSININovember 20, 2024

Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema zaidi ya…

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Gaza imekuwa kaburi la watoto
SWAHILI NEWS

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Gaza imekuwa kaburi la watoto

MUKSININovember 20, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana…

Al-Burhan: Vita vinakaribia kuisha na hakuna mapatano na maadui wa taifa
SWAHILI NEWS

Al-Burhan: Vita vinakaribia kuisha na hakuna mapatano na maadui wa taifa

MUKSININovember 20, 2024

Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito nchini Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, amesema wakati wa mkutano wa kiuchumi katika mji…

Spika wa Bunge Kenya asema: Wabunge mtasafiri kwa treni, si kwa ndege, tunabana matumizi
SWAHILI NEWS

Spika wa Bunge Kenya asema: Wabunge mtasafiri kwa treni, si kwa ndege, tunabana matumizi

MUKSININovember 20, 2024

Spika wa Bunge la Kenya amesema wabunge watakaoshiriki katika michezo baina ya wabunge wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika…

Abiria 1,000,000 wasafiri kwa SGR ndani ya miezi minne
WANANCHI NEWS

Abiria 1,000,000 wasafiri kwa SGR ndani ya miezi minne

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema ndani ya miezi minne limesafirisha zaidi ya abiria 1,000,000 kupitia treni…

Derick anayetuhumiwa kujeruhi Club 1245 kupanda kizimbani leo
WANANCHI NEWS

Derick anayetuhumiwa kujeruhi Club 1245 kupanda kizimbani leo

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Derick Junior (36), ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) anayekabiliwa na mashtaka mawili ya kujeruhi katika…

WANANCHI NEWS

Simba, Yanga na mabenchi ya kisasa

MUKSININovember 20, 2024

Klabu ya Yanga hivi karibuni ilimtambulisha kocha wake mpya Saed Ramovic kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi ambaye amefungashiwa virago baada…

Mtandao wanaouza ‘unga’ Zenji ufumuliwe
WANANCHI NEWS

Mtandao wanaouza ‘unga’ Zenji ufumuliwe

MUKSININovember 20, 2024

Hatimaye watu wa Zanzibar wameona dalili za Serikali kupania kupambana na matumizi ya dawa za kulevya kwa kuwabana wanaofanya biashara…

Siri muungano wa upinzani kushinda uchaguzi Mauritius
WANANCHI NEWS

Siri muungano wa upinzani kushinda uchaguzi Mauritius

MUKSININovember 20, 2024

Kiongozi wa upinzani nchini Mauritius, Navin Ramgoolam ameibuka na ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Bunge nchini humo. Yeye na muungano…

Uraia pacha unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani
WANANCHI NEWS

Uraia pacha unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani

MUKSININovember 20, 2024

Leo naendelea na somo la katiba kwa dhima ya mtunga katiba. Japo Katiba ya Tanzania imetoa haki mbalimbali, haki kuu…

NIKWAMBIE MAMA: Ukuta wa Babeli na ghorofa la Kariakoo
WANANCHI NEWS

NIKWAMBIE MAMA: Ukuta wa Babeli na ghorofa la Kariakoo

MUKSININovember 20, 2024

Leo naanza na mfano hai. Msafiri na ngamia wake walisafiri jangwani kuanzia mapema alfajiri, wakati wa adhuhuri jua lilipokuwa kali,…

Profesa chawa jua huyu ni profedheha
WANANCHI NEWS

Profesa chawa jua huyu ni profedheha

MUKSININovember 20, 2024

Leo nafyatuka na wasomi, wawe wa kweli au kanjanja. Katika kudurusu maana ya usomi na namna unavyopatikana na kutumika, nimejikuta…

KONA YA MALOTO: Wiki ya machozi, maumivu, tafakuri na maigizo kitaifa
WANANCHI NEWS

KONA YA MALOTO: Wiki ya machozi, maumivu, tafakuri na maigizo kitaifa

MUKSININovember 20, 2024

Watanzania 16 wamepoteza maisha Kariakoo, Dar es Salaam. Familia nyingi zimebubujikwa machozi baada ya kuondokewa na ndugu zao waliowapenda na…

Vyama vinapoingia kwenye kampeni katikati ya malalamiko
WANANCHI NEWS

Vyama vinapoingia kwenye kampeni katikati ya malalamiko

MUKSININovember 20, 2024

Leo, vyama vya siasa nchini vinaanza kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ajili ya kuuza sera zao kwa…

Chuma cha Chuma ashindwa kutimiza masharti ya dhamana, arudi mahabusu
WANANCHI NEWS

Chuma cha Chuma ashindwa kutimiza masharti ya dhamana, arudi mahabusu

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali ombi la kuzuia dhamana ya mshtakiwa Ferdnand Ndikuriyo (27), maarufu…

UNICEF: Kimya cha Jamii ya Kimataifa kinayafanya mauaji ya watoto Ghaza na Lebanon yaonekane jambo la kawaida
SWAHILI NEWS

UNICEF: Kimya cha Jamii ya Kimataifa kinayafanya mauaji ya watoto Ghaza na Lebanon yaonekane jambo la kawaida

MUKSININovember 20, 2024

Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) amekosoa kimya cha Jamii ya Kimataifa kinachoyafanya mauaji ya…

Araqchi: Ipo nia ya dhati ya kupanua ushirikiano na Syria katika nyanja zote
SWAHILI NEWS

Araqchi: Ipo nia ya dhati ya kupanua ushirikiano na Syria katika nyanja zote

MUKSININovember 20, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nia ya dhati ya kupanua…

Kolivand: Iran kutuma tani 10 za misaada kwa watu wa Lebanon
SWAHILI NEWS

Kolivand: Iran kutuma tani 10 za misaada kwa watu wa Lebanon

MUKSININovember 20, 2024

Mkuu wa Shirika la Hilali Nyekundu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRCS) ameeleza kuwa shirika hilo hivi karibuni litatuma…

Femi Fani Kayode: Mataifa ya Afrika yanapaswaa kuvunja uhusiano na Israel
SWAHILI NEWS

Femi Fani Kayode: Mataifa ya Afrika yanapaswaa kuvunja uhusiano na Israel

MUKSININovember 20, 2024

Waziri wa zamani wa Usafiri wa Anga nchini Nigeria na kiongozi wa Kikristo nchini humo amezitaka nchi za Kiafrika kuvunja…

Putin atia saini amri ya kupanua mazingira ya kubonyeza kitufe cha nyuklia
SWAHILI NEWS

Putin atia saini amri ya kupanua mazingira ya kubonyeza kitufe cha nyuklia

MUKSININovember 20, 2024

Rais Vladimir Putin wa Russia jana Jumanne, alitia saini amri ya kupanua uwezekano wa nchi yake kutumia silaha za nyuklia,…

Polisi wa Afrika Kusini wanapanga kuwaondoa wachimba madini haramu chini ya ardhi
SWAHILI NEWS

Polisi wa Afrika Kusini wanapanga kuwaondoa wachimba madini haramu chini ya ardhi

MUKSININovember 20, 2024

Msemaji wa Polisi ya Afrika Kusini, Athlenda Mathe, amesema kuwa wataalamu wa uokoaji wamekutana ili kutekeleza operesheni ya kuwatafuta wachimbaji…

Siku 1000 za vita vya Ukraine na mustakabali wake usiojulikana
SWAHILI NEWS

Siku 1000 za vita vya Ukraine na mustakabali wake usiojulikana

MUKSININovember 20, 2024

Jumatatu ya juzi 18 Novemba, 2024, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano mjini New York, kwa mnasaba…

Jumatano, tarehe 20 Novemba, 2024
SWAHILI NEWS

Jumatano, tarehe 20 Novemba, 2024

MUKSININovember 20, 2024

Leo ni Jumatano tarehe 18 Jamadil Awwal 1446 Hijria sawa na 20 Novemba 2024. Katika siku kama ya leo miaka…

Yanga yapewa mbinu za kuimaliza Al-Hilal
WANANCHI NEWS

Yanga yapewa mbinu za kuimaliza Al-Hilal

MUKSININovember 20, 2024

Kwa sasa Yanga iko katika hatua muhimu kuelekea mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Serikali kutunga sheria kudhibiti sekta ya nyumba
WANANCHI NEWS

Serikali kutunga sheria kudhibiti sekta ya nyumba

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Serikali imeifanyia marekebisho Sera ya Taifa ya Ardhi ili kuendana na kasi ya ukuaji wa sekta ya…

Mbowe: Tutailinda Chadema
WANANCHI NEWS

Mbowe: Tutailinda Chadema

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekiri kuwepo kwa minyukano ndani ya chama…

Mtaalamu afya ya akili ashauri mambo tisa janga la Kariakoo
WANANCHI NEWS

Mtaalamu afya ya akili ashauri mambo tisa janga la Kariakoo

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Wakati kesho Jumatano, Novemba 20, 2024 kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa zinaanza, Chama cha ACT…

Uongezaji thamani madini kuibeba Tanzania kiuchumi
WANANCHI NEWS

Uongezaji thamani madini kuibeba Tanzania kiuchumi

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Serikali imesema uongezaji thamani madini nje ya nchi unalikosesha manufaa Taifa, yakiwamo mapato na ajira katika mnyororo…

ACT Wazalendo yaweka hadharani safu yake ya kampeni uchaguzi mitaa
WANANCHI NEWS

ACT Wazalendo yaweka hadharani safu yake ya kampeni uchaguzi mitaa

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Wakati kesho Jumatano, Novemba 20, 2024 kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa zinaanza, Chama cha ACT…

Chuma cha Chuma ashindwa kitimiza masharti ya dhamana, arudi mahabusu
WANANCHI NEWS

Chuma cha Chuma ashindwa kitimiza masharti ya dhamana, arudi mahabusu

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali ombi la kuzuia dhamana ya mshtakiwa Ferdnand Ndikuriyo (27), maarufu…

Kusikiliza kampeni ni hatua ya kwanza ya maendeleo
WANANCHI NEWS

Kusikiliza kampeni ni hatua ya kwanza ya maendeleo

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Kampeni zimeanza. Viongozi wetu wa baadaye wanapaza sauti wakitafuta nafasi ya kuongoza mitaa, vijiji na vitongoji vyetu.…

Siri ya mafanikio ya tuzo za Pmaya yatajwa
WANANCHI NEWS

Siri ya mafanikio ya tuzo za Pmaya yatajwa

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa uwekezaji bora umeiwezesha Kampuni ya Alaf Limited kushinda Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora wa…

Washiriki wa mbio za Kili Marathon tumieni fursa
WANANCHI NEWS

Washiriki wa mbio za Kili Marathon tumieni fursa

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Washiriki wa mbio za Kili Marathon wametakiwa kujiandikisha mapema kabla ya Desemba 12, 2024 ili kuepuka adha…

Mgambo watakiwa kutumika kutunza amani
WANANCHI NEWS

Mgambo watakiwa kutumika kutunza amani

MUKSININovember 19, 2024

Songwe. Mkuu wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi ametoa wito kwa wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba…

Rais Samia aipongeza Stars kufuzu Afcon, asisitiza haya
WANANCHI NEWS

Rais Samia aipongeza Stars kufuzu Afcon, asisitiza haya

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa…

Rais Mwinyi apangua wakuu wa mikoa, wilaya
WANANCHI NEWS

Rais Mwinyi apangua wakuu wa mikoa, wilaya

MUKSININovember 19, 2024

Unguja. Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na wilaya. Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo…

Mkandarasi apewa siku saba kuanza mradi wa maji Muheza
WANANCHI NEWS

Mkandarasi apewa siku saba kuanza mradi wa maji Muheza

MUKSININovember 19, 2024

Muheza. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa siku saba kwa mkandarasi anayejenga mradi wa maji wa Miji 28 Wilaya ya…

Asimulia alivyokwama kwa saa 72 chini ya kifusi Kariakoo
WANANCHI NEWS

Asimulia alivyokwama kwa saa 72 chini ya kifusi Kariakoo

MUKSININovember 19, 2024

Dar es Salaam. Mfanyabiashara wa soko la Kariakoo, Benedicto Mwanalingo (26) mkazi wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam amesimulia…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us