Skip to content

MALUMBANO DUNIANI

Mizozo ya kijeshi duniani

  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us
Karibu watoto wote huko Gaza wanasumbuliwa na athari za kisaikolojia za vita
SWAHILI NEWS

Karibu watoto wote huko Gaza wanasumbuliwa na athari za kisaikolojia za vita

MUKSININovember 21, 2024

Madhara ya afya ya akili ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaweza kuonekana…

Msumbiji: Upinzani watoa wito kuomboleza vifo vya watu 50
SWAHILI NEWS

Msumbiji: Upinzani watoa wito kuomboleza vifo vya watu 50

MUKSININovember 21, 2024

Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji Venancio Mondlane ametoa wito wa kufanyika siku tatu za maombolezo kuanzia jana Jumatano kutokana na…

Hii hapa mashine ya Yanga dirisha dogo
WANANCHI NEWS

Hii hapa mashine ya Yanga dirisha dogo

MUKSININovember 21, 2024

Yanga imeanza mikakati ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu ambapo jina…

Wapemba waliobadili majina wahangaika kupata uraia wa Kenya
WANANCHI NEWS

Wapemba waliobadili majina wahangaika kupata uraia wa Kenya

MUKSININovember 20, 2024

Mombasa. Baadhi ya watu wenye asili ya Pemba, Zanzibar wameeleza changamoto wanazokutana nazo katika mchakato wa kujisajili kuwa raia wa…

WANANCHI NEWS

Ahadi, majigambo vyatawala siku ya kwanza ya kampeni, wengine kesho

MUKSININovember 20, 2024

Dar/Mikoani. Ikiwa ni siku ya kwanza za kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa jana, baadhi ya vyama vya siasa…

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wa miaka minane
WANANCHI NEWS

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wa miaka minane

MUKSININovember 20, 2024

Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, imemhukumu Samwel Anthony (34) kifungo cha maisha jela baada ya kumtia hatiani…

Wawili kizimbani wakidaiwa kukwepa kodi ya TRA
WANANCHI NEWS

Wawili kizimbani wakidaiwa kukwepa kodi ya TRA

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Wakazi wawili jijini hapa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakishtakiwa kwa makosa tisa yakiwamo ya…

WANANCHI NEWS

Rais Samia awatembelea majeruhi ghorofa la Kariakoo, ampa matumaini mwanafunzi aliyenasa saa 24

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Mtapona kwa uwezo wa Mungu. Ndilo neno lililotawala kinywani mwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipowatembelea…

Trump kutimua wahamiaji Wakenya 30,000 Marekani?
WANANCHI NEWS

Trump kutimua wahamiaji Wakenya 30,000 Marekani?

MUKSININovember 20, 2024

Washington. Zaidi ya Wakenya 30,000 wanaoishi nchini Marekani bila vibali halali wanakabiliwa na hatari ya kufukuzwa, kutokana na mipango ya…

WANANCHI NEWS

Rais Samia: Hatutasita kubomoa Kariakoo yote

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitasita kubomoa majengo yote ya Kariakoo iwapo tume iliyoundwa kuchunguza usalama…

Kombo wa Chadema aliyepotea akashtakiwa, aachiwa kwa faini ya Sh85,000
WANANCHI NEWS

Kombo wa Chadema aliyepotea akashtakiwa, aachiwa kwa faini ya Sh85,000

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya…

WANANCHI NEWS

Waathirika jengo Kariakoo kupoteza mamilioni ya fidia

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Waathirika na ndugu wa walioathiriwa na kuporomoka jengo la ghorofa nne Kariakoo wangelipwa mamilioni ya fidia iwapo…

Besigye ashtakiwa mahakama ya kijeshi kwa njama za kulipua kambi
WANANCHI NEWS

Besigye ashtakiwa mahakama ya kijeshi kwa njama za kulipua kambi

MUKSININovember 20, 2024

Kampala. Mwanasiasa mkongwe wa upinzani wa Uganda, Dk Kizza Besigye aliyetoweka Nairobi nchini Kenya Jumamosi na baadaye kudaiwa kutekwa, ameibukia…

Utetezi anayedaiwa kumteketeza mke kwa magunia mawili ya mkaa waibua mapya
WANANCHI NEWS

Utetezi anayedaiwa kumteketeza mke kwa magunia mawili ya mkaa waibua mapya

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Mshtakiwa Hamis Luwongo, anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya mkewe na kuuteketeza mwili wake kwa magunia mawili…

Serikali yatangaza neema kwa wastaafu kuanzia Januari 2025
WANANCHI NEWS

Serikali yatangaza neema kwa wastaafu kuanzia Januari 2025

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Baada ya kilio cha muda mrefu cha wastaafu wakilalamikia nyongeza ya pensheni, hatimaye Serikali imetangaza kiwango cha…

Mageuzi TPSF kuwagusa wanawake, vijana na teknolojia
WANANCHI NEWS

Mageuzi TPSF kuwagusa wanawake, vijana na teknolojia

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imeweka mkazo kwenye teknolojia, vijana na kina mama ili kuhakikisha taasisi hiyo…

Karatasi ya oda ilivyomnusuru kuporomokewa na ghorofa Kariakoo
WANANCHI NEWS

Karatasi ya oda ilivyomnusuru kuporomokewa na ghorofa Kariakoo

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Mfanyakazi wa duka lililopo Mtaa wa Manyema, Yohana Maziku (20), mkazi wa Mbagala, amesimulia jinsi karatasi ya…

Tatizo la ajira lamulikwa, wanafunzi CBE kupatiwa mbinu
WANANCHI NEWS

Tatizo la ajira lamulikwa, wanafunzi CBE kupatiwa mbinu

MUKSININovember 20, 2024

Dodoma. Katika kukabiliana na tatizo la ajira nchini, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimenzisha mpango atamizi wa mawazo ya…

Sh817.6 milioni kukopesha vijana, wanawake na wenye ulemavu Ifakara
WANANCHI NEWS

Sh817.6 milioni kukopesha vijana, wanawake na wenye ulemavu Ifakara

MUKSININovember 20, 2024

Kilombero. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya amezindua utoaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ya wilaya…

Vifo ajali ya ghorofa Kariakoo vyafika 20
WANANCHI NEWS

Vifo ajali ya ghorofa Kariakoo vyafika 20

MUKSININovember 20, 2024

Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…

Man United yatua kwa nyota wa Sporting
WANANCHI NEWS

Man United yatua kwa nyota wa Sporting

MUKSININovember 20, 2024

Baada ya kumnasa kocha Ruben Amorim, Manchester United ipo kwenye mazungumzo na Straika wa Sweden, Viktor Gyokers anayekipiga Sporting CP…

WANANCHI NEWS

Simulizi ya kijana mwenye ulemavu anayepambana na maisha kupitia Sanaa

MUKSININovember 20, 2024

Handeni. Ulemavu haujamzuia kijana huyu kuzifikia ndoto zake. Kwake, umeibua fursa mpya za kumwezesha kuendesha maisha yake bila kumtegemea mtu,…

WANANCHI NEWS

Stars yapitia njia moja kufuzu Afcon

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Baada ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon)  2025 zitakazofanyika Morocco, timu ya Taifa ya Tanzania…

Ugumba ulivyomsukuma kujaribu kuiba mtoto
WANANCHI NEWS

Ugumba ulivyomsukuma kujaribu kuiba mtoto

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Saa 11.00 alfajiri alikuwa amejiandaa kikamilifu kutimiza nia yake mbaya ya kuiba mtoto hospitalini jambo analojutia na…

Wanawake Zanzibar wapambana kuimarisha kilimo mseto kuinua vipato vyao
WANANCHI NEWS

Wanawake Zanzibar wapambana kuimarisha kilimo mseto kuinua vipato vyao

MUKSININovember 20, 2024

Unguja. Licha ya sekta ya kilimo kuwa tegemeo kwa uchumi wa Zanzibar na maisha ya wananchi, ushiriki wa wanawake bado…

WANANCHI NEWS

Siri uvaaji hereni mwigizaji Morgan, kifo chake

MUKSININovember 20, 2024

Marekani. Kupanga ni kuchagua hivi ndivyo unaweza sema kwa mwigizaji maarufu wa Marekani, Morgan Freeman, ambaye amechagua hereni zake kuwa…

Kenya yakana kuhusika na kutekwa nyara Kizza Besigye
SWAHILI NEWS

Kenya yakana kuhusika na kutekwa nyara Kizza Besigye

MUKSININovember 20, 2024

Serikali ya Kenya imekana kuhusika na madai ya kutekwa nyara kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye. Katibu Mkuu wa…

Wanajeshi wasiopungua 12 wa Nigeria wauawa katika hujuma ya Boko Haram
SWAHILI NEWS

Wanajeshi wasiopungua 12 wa Nigeria wauawa katika hujuma ya Boko Haram

MUKSININovember 20, 2024

Wanajeshi zaidi ya 12 wa Nigeria waliuliwa jana Jumanne katika mashambulizi kadhaa ya kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi…

Kamanda wa Marekani akiri kusalia matupu maghala ya silaha ya nchi hiyo
SWAHILI NEWS

Kamanda wa Marekani akiri kusalia matupu maghala ya silaha ya nchi hiyo

MUKSININovember 20, 2024

Kamanda wa jeshi la Marekani katika eneo la Indo- Pacific amekiri kuwa maghaala ya silaha ya nchi hiyo hivi sasa…

Kikao cha pili cha kamati ya pande tatu za Iran, Saudi Arabia na China chafanyika Riyadh
SWAHILI NEWS

Kikao cha pili cha kamati ya pande tatu za Iran, Saudi Arabia na China chafanyika Riyadh

MUKSININovember 20, 2024

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Saudi Arabia na China zimefanya kikao cha pili cha pande tatu huko Riyadh, Saudi Arabia…

Afrika Kusini imeanza kuwaondoa chini ya ardhi wanaochimba madini kinyume cha sheria
SWAHILI NEWS

Afrika Kusini imeanza kuwaondoa chini ya ardhi wanaochimba madini kinyume cha sheria

MUKSININovember 20, 2024

Wataalamu wa uokoaji wa Afrika Kusini wamefika katika mgodi wa Stilfontein nchini humo kuanza operesheni ya kuwatoa chini ya ardhi…

Wajibu wa wadau wa uchaguzi wakati wa kampeni
WANANCHI NEWS

Wajibu wa wadau wa uchaguzi wakati wa kampeni

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Uchaguzi ni moyo wa demokrasia. Katika mchakato huu, kila mdau ana nafasi ya kipekee kuhakikisha uchaguzi unakuwa…

Iran: Ni muhimu kuwepo mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon
SWAHILI NEWS

Iran: Ni muhimu kuwepo mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon

MUKSININovember 20, 2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesisitiza umuhimu wa mshikamano…

Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto
SWAHILI NEWS

Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto

MUKSININovember 20, 2024

Parstoday- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto…

Wanafunzi 15 mbaroni wakidaiwa kufanya vurugu Sanya Day
WANANCHI NEWS

Wanafunzi 15 mbaroni wakidaiwa kufanya vurugu Sanya Day

MUKSININovember 20, 2024

Siha. Wanafunzi 15 wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Sanya Day, Wilaya ya Siha, Mkoani Kilimanjaro wanashikiliwa na…

Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia
SWAHILI NEWS

Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia

MUKSININovember 20, 2024

Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia…

Necta yampa matumaini mwanafunzi aliyenasa saa 24 ndani ya kifusi Kariakoo
WANANCHI NEWS

Necta yampa matumaini mwanafunzi aliyenasa saa 24 ndani ya kifusi Kariakoo

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Ombi la Jackson Clement, mwanafunzi wa kidato cha nne aliyenusurika kifo kwenye ajali ya ghorofa Kariakoo, limesikika…

Bodaboda, bajaji wanavyopiga hela kwa kutumwa kondomu
WANANCHI NEWS

Bodaboda, bajaji wanavyopiga hela kwa kutumwa kondomu

MUKSININovember 20, 2024

Dodoma. Aibu kwa watumiaji wa kondomu imewalazimu kuwalipa madereva wa bodaboda na bajaji kwenda kuwanunulia kinga hiyo dhidi ya magonjwa…

Wafanyabiashara jengo lililoporomoka Kariakoo wasubiri kauli ya Serikali
WANANCHI NEWS

Wafanyabiashara jengo lililoporomoka Kariakoo wasubiri kauli ya Serikali

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wenye maduka na vyumba vya kuhifadhi mizigo katika jengo lililoporomoka Kariakoo wameeleza wanangoja tamko la Serikali…

Diamond akubali yaishe kutochaguliwa Tuzo za Grammy
WANANCHI NEWS

Diamond akubali yaishe kutochaguliwa Tuzo za Grammy

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond kutochaguliwa kuwania tuzo za Grammy, msanii huyo amesema kuwa…

Besigye atoweka Nairobi, mkewe adai anashikiliwa Kampala
WANANCHI NEWS

Besigye atoweka Nairobi, mkewe adai anashikiliwa Kampala

MUKSININovember 20, 2024

Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Dk Kizza Besigye anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana jijini Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa tovuti…

Askofu Kassala: Serikali izitazame changamoto za watoto wenye ulemavu
WANANCHI NEWS

Askofu Kassala: Serikali izitazame changamoto za watoto wenye ulemavu

MUKSININovember 20, 2024

Geita. Askofu wa Jimbo Katoliki Geita, Dk Flavian Kassala ameitaka Serikali kuziangalia na kuzitatua changamoto zinazowakabili watoto wenye ulemavu zinazowafanya…

Derick anayetuhumiwa kujeruhi Club 1245 kusomewa maelezo leo
WANANCHI NEWS

Derick anayetuhumiwa kujeruhi Club 1245 kusomewa maelezo leo

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Derick Junior (36), ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) anayekabiliwa na mashtaka mawili ya kujeruhi katika…

Iran yaonya kuhusu azimio lolote dhidi ya Tehran katika kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA
SWAHILI NEWS

Iran yaonya kuhusu azimio lolote dhidi ya Tehran katika kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA

MUKSININovember 20, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa hatua yoyote dhidi ya Tehran katika kikao kijacho cha Bodi ya…

Araqchi: Wanaotoa silaha kwa Israel wanaishutumu Iran kutuma makombora huko Russia
SWAHILI NEWS

Araqchi: Wanaotoa silaha kwa Israel wanaishutumu Iran kutuma makombora huko Russia

MUKSININovember 20, 2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Umoja wa Ulaya na Uingereza zinatumia mienendo inayokinzana dhidi ya Iran ambayo…

UNICEF: Zaidi ya watoto 200 wameuawa Lebanon katika mashambulizi ya Israel
SWAHILI NEWS

UNICEF: Zaidi ya watoto 200 wameuawa Lebanon katika mashambulizi ya Israel

MUKSININovember 20, 2024

Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema zaidi ya…

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Gaza imekuwa kaburi la watoto
SWAHILI NEWS

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Gaza imekuwa kaburi la watoto

MUKSININovember 20, 2024

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana…

Al-Burhan: Vita vinakaribia kuisha na hakuna mapatano na maadui wa taifa
SWAHILI NEWS

Al-Burhan: Vita vinakaribia kuisha na hakuna mapatano na maadui wa taifa

MUKSININovember 20, 2024

Mkuu wa Baraza la Utawala wa Mpito nchini Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, amesema wakati wa mkutano wa kiuchumi katika mji…

Spika wa Bunge Kenya asema: Wabunge mtasafiri kwa treni, si kwa ndege, tunabana matumizi
SWAHILI NEWS

Spika wa Bunge Kenya asema: Wabunge mtasafiri kwa treni, si kwa ndege, tunabana matumizi

MUKSININovember 20, 2024

Spika wa Bunge la Kenya amesema wabunge watakaoshiriki katika michezo baina ya wabunge wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika…

Abiria 1,000,000 wasafiri kwa SGR ndani ya miezi minne
WANANCHI NEWS

Abiria 1,000,000 wasafiri kwa SGR ndani ya miezi minne

MUKSININovember 20, 2024

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema ndani ya miezi minne limesafirisha zaidi ya abiria 1,000,000 kupitia treni…

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Copyright © 2025 MALUMBANO DUNIANI | Link News by Ascendoor | Powered by WordPress.
  • Privacy Policy
  • Terms And Conditions
  • Contact Us