BDL sasa kufanyika Aprili
Kamishina wa ufundi na mashindano wa Ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salam (BDL), Haleluya Kavalambi amesema ligi hiyo…
Mizozo ya kijeshi duniani
Kamishina wa ufundi na mashindano wa Ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salam (BDL), Haleluya Kavalambi amesema ligi hiyo…
KENGOLD bado inapasua kichwa ikitaka kubaki Ligi Kuu Bara, lakini imezitaja mechi mbili zinazoweza kuwa kikazo kwao ambazo ni dhidi…
REKODI alizoacha John Bocco pale Azam FC, zimemfanya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’,…
SAKATA la kuahirishwa mechi ya Kariakoo Dabi, Yanga dhidi ya Simba limechukua sura mpya na tafsiri nyepesi ni kama mambo…
Baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ kwa zaidi ya miaka 15, nyota wa zamani wa Simba,…
COASTAL Union na Kagera Sugar ni kati ya timu tano kati ya 16 zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ambazo hazijapata ushindi…
WACHEZAJI wakongwe wa Tanzania Prisons waliokuwa wamepangiwa majukumu mengine nje ya timu, Jumanne Elfadhili na Salum Kimenya wamerejeshwa na wameshajiunga…
NYOTA wa Tabora United, Offen Chikola amebakiza bao moja ili kuandika rekodi ya mfungaji bora tangu ilipopanda Ligi Kuu Bara…
BENCHI la ufundi la Simba linazidi kukuna kichwa juu ya jereha linalomsumbua beki wa kati, Fondoh Che Malone aliyepelekwa Morocco…
BENCHI la ufundi la Simba linazidi kukuna kichwa juu ya jereha linalomsumbua beki wa kati, Fondoh Che Malone aliyepelekwa Morocco…
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mkakati wake wa kiufundi katika safu ya ushambuliaji akisisitiza umuhimu wa kubadilishana nafasi kwa…
SINGIDA Black Stars inachekelea usajili wa kumshusha nchini mshambuliaji Jonathan Sowah, lakini wakubwa wamemuona ikiwemo Yanga na hesabu mpya ni…
Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo nyota wa timu ya Yanga SC, Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka…
Winga wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor hatokuwa miongoni mwa nyota 25 wa Niger wanaoingia kambini wiki hii kujiandaa na…
Hayati Magufuli alifariki Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam kwa maradhi ya moyo, kifo kilichohitimisha miaka…
KESHO saa 10:00 za jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam itashuhudiwa Dabi ya Wanawake kati ya Simba…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
UPEPO umebadilika. Upepo wa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara umebadilika baada ya timu kadhaa zilizokuwa zikichuana na vigogo…
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Boubou Traore kutoka Mali kusimamia mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe…
KIPA wa Dodoma Jiji, Mkongomani Alain Ngeleka ameingia katika orodha ya makipa waliopigwa mabao mengi katika mchezo mmoja baada ya…
LICHA ya kwamba hawatajwi sana, lakini maafande wa JKT Tanzania namba walizonazo katika Ligi Kuu Bara iliyosimama kwa sasa zinashtua.…
LIGI itapasuka vipande vipande ni maneno ya kocha wa Namungo, Juma Mgunda, ambaye aliyasema siku chache zilizopita kutokana na ushindani…
WAKATI katika Ligi Kuu Bara zimepigwa hat trick tatu tu hadi sasa kupitia mechi 181, huku kwenye Ligi Kuu ya…
UNAWEZA kusema mshambuliaji wa JKT Queens, Stumai Abdallah amepania kwenye mbio za kuchukua kiatu cha ufungaji bora Ligi Kuu ya…
MIONGONI Mwa nyota wa kutazamwa kwenye kikosi cha Yanga Princess ni Neema Paul anayemudu kucheza winga zote mbili. Paul alijiunga…
HILI ni moja ya maswali ambayo pengine kwa wadau wa soka la wanawake wanalo jibu juu ya mwenendo wa mabingwa…
MBEYA City imekuwa ni timu ya kwanza ya Ligi ya Championship kuweka rekodi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya…
WAKATI Kombe la Shirikisho likiwa hatua ya robo fainali, ni mastaa watatu tu wa timu za Ligi ya Championship walioweka…
LICHA ya Geita Gold kupoteza michezo mitatu mfululizo, ila kocha mkuu wa timu hiyo, Mohamed Muya amesema matokeo hayo hayajawatoa…
KOCHA wa Bigman FC, Zubery Katwila amesema licha ya kukabiliwa na ratiba ngumu katika michezo minane iliyosalia kumaliza msimu huu,…
Kiluvya United imefikia makubaliano na aliyekuwa Kocha wa Ruvu Shooting, Julio Elieza kwa ajili ya kukiongoza kikosi hicho hadi mwisho…
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayewasha moto katika klabu ya Al Nassr, Clara Luvanga amesema mabao 15 aliyofunga yanampa hamasa…
RICHARD Bay ya Afrika Kusini aliyowahi kuichezea Beki Kisiki Mtanzania, Abdi Banda imefungiwa moja kwa moja kusajili wachezaji wa ndani…
MSHAMBULIAJI wa Al Mina’a inayoshiriki Ligi Kuu nchini Iraq, Wazir Jr Shentembo ugumu wa ligi hiyo unampa changamoto ya kuipambania…
NYOTA wa Kitanzania, Athuman Masumbuko ‘Makambo’ amesema amesaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya SC Viktoria inayoshiruiki Ligi ya…
VINARA na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, wanatarajiwa kuzindua Uwanja wao mpya wa Singida Black Stars uliopo Mtipa…
BEKI wa Simba Chamou Karaboue amewashusha presha mashabiki wa klabu hiyo, hata kama Che Malone Fondoh hatakuwepo lakini amejipanga vizuri…
BAADA ya kuonyesha uwezo wake ndani ya dakika 66 alizopewa winga mpya wa Yanga, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’, kocha wake…
MABAO mawili aliyoyafunga kiungo nyota mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua, juzi katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji,…
KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi anatarajiwa kuuwahi mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Aprili Mosi…
TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls, leo jioni imeondoshwa kwenye mashindano ya kufuzu Kombe la…
BAADA ya Kagera Sugar kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wake raia wa Cameroon, Moubarack Amza kutoka Namungo, nyota huyo amesema anajisikia furaha…
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema katika mipango yake msimu ujao, kuhusu usajili anataka wachezaji wenye uwezo mkubwa wa…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limemteua mwamuzi Ahmed Arajiga kuamua mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Pyramids ya…
BAADA ya ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids…
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu amegusia taarifa ya Klabu ya Yanga kuwa inataka kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi…
TUSIZOEANE. Ni kama onyo kali vile ilichofanya Simba jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma…
LIGI Kuu imesimama hadi Aprili Mosi wakati ngarambe ya lala salama itapigwa hadi bingwa wa msimu huu atakapopatikana Mei 25,…