Mwenyekiti Soka la Wanawake Mbeya afariki dunia
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025…
Mizozo ya kijeshi duniani
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025…
Harakati za kujinasua mkiani kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa KenGold baada ya kukumbana na kipigo…
Wanasheria wamekuwa na mitazamo tofauti katika sakata la kukamatwa Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe huku wakigusia kilichowahi…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
KATIKA hesabu za Simba kuhakikisha inachanga vizuri karata zake na kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, inatakiwa kuwa…
KOCHA Mkuu wa KMC, Kali Ongala amepata ushindi wake wa tatu ndani ya timu hiyo katika kipindi cha siku 139…
DROO ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) imechezeshwa huku timu mbili za Championship, Stand United na…
KUNA watu wana bahati zao duniani na mfano wa hao ni kocha Malale Hamsini ambaye hivi karibuni alijiunga na Mbeya…
JANA Lionel Ateba katukwaza sana hapa kijiweni baada ya mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika…
Vicky, Madina vitani kesho Kenya Ladies Open Baada ya kushindwa kumaliza mashindano ya Kimataifa ya gofu ya wanawake nchini Afrika…
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumshikilia Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe kwa tuhuma za kuwachafua viongozi wa serikali. Kamanda…
Tanzania imeanza vyema mbio za kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya miaka 19 baada…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to…
BEKI mahiri wa Simba, Shomary Kapombe ameweka wazi kwamba ndoto yake kubwa kwa sasa ni kutwaa ubingwa wa michuano ya…
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0…
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0…
RAUNDI ya 24 ya Ligi Kuu Bara inaendelea Alhamisi hii kwa michezo mitatu kupigwa huku miwili ikiwa ya mapema kuanzia…
KMC imeondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons ikiitandika mabao 3-2 kwenye Uwanja…
ACHANA na ushindi wa mabao 3-0 walioupata Singida Black Stars, ishu ni mshambuliaji wa timu hiyo, Jonathan Sowah ambaye ametupia…
KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa…
MABINGWA watetezi wa wa Kombe la Muungano, Simba wanatarajia kushiriki mashindano hayo yanayotarajia kuanza Aprili 21 hadi 27, mwaka huu,…
Safari ya Pamba Jiji kutoka nafasi za chini na kusogea juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara bado haijawa rahisi,…
KATIKA harakati za kuhakikisha nidhamu inaimarika ndani ya kikosi, uongozi wa Singida Black Stars umeweka utaratibu wa adhabu mbalimbali kwa…
BAADA ya awali kuelezwa huenda kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa atakosa mechi zote za Ligi Kuu Bara zilizobaki, taarifa…
KUNA uwezekano mkubwa wa straika wa zamani wa Simba na Yanga, Jean Baleke akajiunga na AmaZulu FC ya Afrika Kusini,…
MECHI nne za Ligi Kuu Bara zitapigwa Jumatano hii kwenye viwanja tofauti zikiwa na vita tatu, kisasi, ubingwa na kujiweka…
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya klabu…
LICHA ya kutokuwa na uzoefu mkubwa kimataifa timu yake ikicheza mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho…
POINTI 18 na nafasi ya 15 iliopo Tanzania Prisons, inamfanya kocha wa timu hiyo Amani Josiah kuwa na hesabu kali…
KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Juma Mgunda amesema hana wasiwasi na kikosi chake kwenye vita ya kubaki Ligi Kuu Bara…
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Mashujaa FC kwenye Kombe…
Jumatano, Aprili 2, 2025, Simba itakuwa ugenini katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi…
STRAIKA wa Namungo, Mnyarwanda Meddie Kagere (MK 14 the Terminator), amesema tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara msimu wake bora…
TIMU ya Soud Black imetwaa ubingwa wa Ramadhan Star League 2025 baada ya kuifunga Miyasi kwa pointi 64-41 katika fainali…
HATMA ya kiungo Clatous Chama ndani ya Yanga bado inapasua kichwa baada ya mabosi wa timu hiyo kusubiri uamuzi wa…
KUNA saa 24 za moto kwa Simba na Yanga kujiuliza wanaziendeaje mechi zao zilizoshikilia maana kubwa katika kufikia malengo yao…
KUNA saa 24 za moto kwa Simba na Yanga kujiuliza wanaziendeaje mechi zao zilizoshikilia maana kubwa katika kufikia malengo yao…
Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amesema anafahamu ugumu uliopo katika Ligi ys Championship huku akieleza kuwa mkakati wake…
Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amesema anafahamu ugumu uliopo katika Ligi ys Championship huku akieleza kuwa mkakati wake…
KOCHA mpya wa Tabora United, Genesis Mangombe anakabiliwa na mtihani mgumu wa kuhakikisha timu hiyo inaendelea kuwa na mwendelezo mzuri…
KAGERA Sugar imelifunga rasmi faili la kumshawishi mshambuliaji George Mpole kwa kile ilichodai haitaki kuharibu utulivu wa hesabu zao za…
KIPA wa Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema ufundi wanaouonyesha makipa Moussa Camara (Simba) na Djigui Diarra(Yanga) ni funzo kwa…
UONGOZI wa Mbeya City umemalizana na aliyekuwa kocha wa JKT Tanzania Malale Hamsin baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo…
UKIANGALIA kikosi cha Simba kisha ukichungulia pale Al Masry, kuna kitu utagundua kuhusu mastaa wawili, Jean Charles Ahoua na Fakhreddine…
SIKU za mshambuliaji Clement Mzize ndani ya Yanga ni kama zinahesabika baada ya kubakiza hatua moja tu kukamilisha dili lake…
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Jumatatu hii kitacheza dhidi ya…
KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Mecky Maxime amesema moja ya kazi anayoendelea kuifanya kwenye uwanja wa mazoezi ni kuinoa zaidi…
MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor bado hajajipata huku akieleza haoni kama kuna maajabu yanaweza kutokea katika mechi saba…
KIKOSI cha KenGold kitaendelea kufundishwa na Omary Kapilima kwa michezo iliyobaki, huku Mserbia Vladislav Heric akiwa msaidizi, baada ya kocha…
Wakati jarida la Forbes likimuorodhesha Mohammed Dewji (MO) kuwa bilionea wa 12 barani Afrika katika chati mpya ya 2025, klabu…